Friday , 26 April 2024

Day: October 3, 2018

Habari za SiasaTangulizi

Chadema, CCM watangwana makonde Umeya Dar

MADIWANI wa vyama viwili, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamezichapa wakati wa uchaguzi wa Naibu Meya...

Michezo

Taifa Stars kutua Cape Verde na Dreamliner

TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars itatua jijini Praia, nchini Cape verde na Dreamliner mali ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi: Namhusudu sana Magufuli

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi amesema anamhusudu Rais John Magufuli kutokana na mambo mazuri anayofanya kwa ajili ya...

Habari za Siasa

Skauti sasa kutua Vyuo Vikuu

BAADA ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa Skauti Mkuu wa Chama cha Maskauti Tanzania, Mwantumu Mahiza ameahidi kuieneza skauti katika vyuo vya kati na...

Habari za SiasaTangulizi

Wizara ya Mambo ya Nje kutifuana

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Faraji Mnyepe amemtoa wasiwasi Rais John Magufuli kuhusu kibarua...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amteuwa Mkurugenzi mpya NIDA

RAIS John Magufuli leo tarehe 3 Oktoba 2018 amemteua Dk. Arnold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)....

error: Content is protected !!