Saturday , 27 April 2024

Day: June 20, 2017

Habari za Siasa

Lissu awaburuza kortini Ndugai na Mkuchika

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amepeleka ombi katika Mahakama  Kuu Kanda ya Dodoma, akiomba kumshtaki Job Ndugai,...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai awabagua wapinzani, wamtolea uvivu

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewaagiza mawaziri kutopeleka fedha katika majimbo ya wapinzani kutokana na kuikataa bajeti kwa kupiga kura ya hapana, anaandika...

Habari Mchanganyiko

TEF: Mwakyembe amekurupuka

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limetoa tamko la kulaani kitendo cha Dk. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kulifungia gazeti...

Habari Mchanganyiko

Kiwanda chamuumbua Waziri Mwijage

SERIKALI imeendelea kupata kigugumizi juu ya ufufuaji wa kiwanda cha General tyre, kilichopo mkoani Arusha licha ya kutoa ahadi ya kukifufua kiwanda hicho...

Habari Mchanganyiko

Mafia walia na vifaa tiba vya watoto njiti

UONGOZI wa hospitali ya Mafia, iliyopo mkoa wa Pwani umeiomba serikali na wadau wa maendeleo kusaidia upatikanaji wa vifaa tiba kwa ajili ya...

Habari Mchanganyiko

Wahalifu 284 watiwa nguvuni Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kukamata jumla ya wahalifu 284 katika operesheni iliyochukua siku 20, anaandika Yasinta Francis....

error: Content is protected !!