Saturday , 2 December 2023
Home Kitengo Michezo Mzigo wa kutosha upo Meridianbet Jumapili hii
Michezo

Mzigo wa kutosha upo Meridianbet Jumapili hii

Spread the love

KAMPUNI bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri Meridianbet mzigo wa kutosha unapatikana ni wewe tukubashiri kwa kuzifata ODDS KUBWA zilizowekwa katikamichezo inayopigwa leo jumapili katika viwanja mbalimbali Duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …. (endelea).

Meridianbet kila siku mzigo unaongezeka na sasa umefikamilioni mia mbili za kitanzania katika Jackpot yao, Lakini mbalina Jackpot michezo ya leo inaweza kukupa mkwanja wa kutoshana wikiendi inaweza kumalizika kwa shangwe kupitiaMeridianbet.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Ligi kuu ya Uingereza, Hispania, Ufaransa, Italia, Ujerumani, NBC Tanzania michezo mikali itapigwa kama kawaida ni mudawa kufanya machaguzi yako ili uweze kuondoka na kitita cha kutosha kupitia Meridianbet.

Pale ligi kuu ya Uingereza EPL itapigwa michezo kadhaa mikaliambapo majogoo wa Anfield klabu ya Liverpool leo watashukadimbani kukipiga na klabu ya Luton Town, Huku Aston Villa yaUnai Emery iliyo kwenye kiwango bora kabisa ikiwa ugeninikumenyana na Nottingham Forest.

La liga ligi kuu ya Hispania klabu ya Valencia wao watakuadimbani kwao pale Mestalla kuwakaribisha klabu ya Granada, Huku Villarreal wakikipiga na Athletico Bilbao, Real Madrid wao watakua Santiago Bernabeu kuwakaribisha Rayo Vallecano.

Serie A ligi kuu ya Italia moto utawaka leo ambapo As Roma baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Inter Milan leowatacheza na klabu ya Lecce katika dimba lao la Olympico, Juventus wakiwa kwenye fomu nzuri hivi karibuni watakuaugenini kukipiga na klabu ya Fiorentina.

Ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1 pia kutakua namichezo mikali jumapili hii ya kujipigia mkwanja ambapoMonaco watashuka dimbani kukipiga na Brest, HukuOlympique Lyon iliyo kwenye hali tete kwenye ligi hiyowakiikaribisha Metz, Mechi kali ya kufungia diku itakua kati yaNice dhidi ya klabu ya Stade de Rennes.

Ligi kuu ya NBC Tanzania bara utapigwa mchezo mkali sanaleo ambapo utawakutanisha mahasimu wawili wababe wa sokala Tanzania kati ya klabu ya Simba dhidi ya Yanga, Hukumchezo huo ukipewa ODDS KUBWA na kabambe kabisaambapo wewe mteja wa Meridianbet unaweza kuchukuamkwanja wako kibabe kabisa leo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Fernandes hakamatiki Man Utd, mahesabu ni kuifunga Bayern

Spread the love  NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, alikuwa na kiwango...

Michezo

Meridianbet na Ligi ya Europa inakupa pesa za kumwaga mapema sana

Spread the love  KOMBE la UEFA Europa League ni zito kuliko makombe...

Michezo

Kwapua mpunga na mechi za UEFA leo na kesho

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya kuendelea leo na kesho...

AfyaMichezo

GGML yatoa milioni 17 kung’arisha ATF Marathon

Spread the loveKATIKA kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kukabiliana na maambukizi...

error: Content is protected !!