Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Biashara Huu hapa mchezo bora wa kuzungusha gurudumu la namba, American Roulette
Biashara

Huu hapa mchezo bora wa kuzungusha gurudumu la namba, American Roulette

Spread the love

 

DK. Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jamaa alifariki akiwa na miaka 80 na kwa namna ya kipekee mchango wake kwenye ulimwengu wa michezo ya Kamari anakumbukwa.

American Roulette sawa na michezo mingine ya Roulette unapatikana Meridianbet kwenye kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Microgaming kwa kushirikiana na Switch Studios, wachezaji na wadau wa kasino ya mtandaoni wanathamini urahisi na ufanisi wa mchezo huu wa roulette.

Kitu pekee kinacho tofautisha American roulette na michezo mengine ya roulette kutoka kasino ya mtandaoni ni uwepo wa namba mbili za sufuri (00) kwenye gurudumu.

American roulette inajumuisha gurudumu la roulette, mpira, na ubao wa mchezo. Moja ya faida kubwa ya American roulette ni rahisi kucheza. Lengo la mchezo huu ni kutabiri namba au kundi la namba ambazo mpira utaangukia

Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni mchezo wa RNG (Random Number Generator), ikimaanisha hakuna mchezeshaji laivu. Mchezo unabadilika kwa urahisi kati ya ubao wa kuweka dau na kuonyesha gurudumu linalozunguka.

Lakini pia American Roulette una (00) tofauti na Roulette nyingine zenye sifuri moja, kigine ni uwepo wa namba 38 badala ya 37. Kuna namba thelathini na sita za kawaida, zilizopambwa kwa rangi nyekundu na nyeusi, pamoja na sufuri mbili. Sufuri moja ni kijani, na nyingine ni sufuri mbili kijani.

HATUA KWA HATUA MPAKA USHINDI

Unapoanza kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unapaswa kuchagua sarafu unayotaka kutumia kutoka kwenye safu na uiweke kwenye ubao. Pia kuna kitufe cha race track kinachopatikana kusaidia dau za majirani.

Mbali na kipengele cha kucheza moja kwa moja, American Roulette hukumbuka dau lako la mwisho. Kwa hivyo, ikiwa unataka kubeti muunganiko ule ule, bonyeza kitufe cha spin. American Roulette unatoa ukurasa wa takwimu ambapo unaweza kuona data za kurasa 100 zilizopita.

Kando na kitufe cha Spin, utaona kitufe cha Clear Bets, kinachoruhusu kufuta dau lako la awali na kuanza upya. Ikiwa hauko tayari kufuta dau, lakini ungependa kucheza spin inayofuata na dau zilizopo kutoka mchezo uliopita, bonyeza tu kitufe cha redo.

Mchezo huu pia una kitufe cha X2 Double, ambacho kinadondosha dau lako mara mbili kwa kubonyeza tu. Kushinda mchezo, unaweza kuweka Inside Bets au Outside Bets, pamoja na kubeti namba jirani.

Ingia mchezoni uonje raha na utamu wa roulette hii pendwa inayopatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni kupitia www.meridianbet.co.tz

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza. Pia kama sio mpenzi wa kasino unaweza kubashiri soka kwa odds kubwa na machaguo kibao. Bonyeza hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Cheza sloti ya Zombie Apocalypse na ushinde kirahisi

Spread the love Wengi wetu hupenda filamu za Mazombie huwa zinatishakidogo lakini...

Biashara

Ushirikishwaji wa wafanyakazi ni muhimu katika utekelezaji wa sera za afya na usalama kazini

Spread the love  KILA ifikapo Aprili 28 ya kila mwaka, dunia huadhimisha...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Oryx gesi yagawa mitungi, majiko 100 kwa waandishi wa habari Dar

Spread the loveKAMPUNI ya Oryx Gesi Tanzania imegawa mitungi 100 ya gesi...

Biashara

Wazir Jr kinara wa ufungaji KMC FC ajiunga Meridianbet

Spread the love    MUITE Wazir Jr ‘The King of CCM Kirumba’,...

error: Content is protected !!