Monday , 13 May 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Wanafunzi 280 watekwa nyara Nigeria
Kimataifa

Wanafunzi 280 watekwa nyara Nigeria

Spread the love

Watu waliojihami kwa bunduki wamewateka nyara zaidi ya wanafunzi 280 baada ya kuivamia shule moja kaskazini magharibi mwa Nigeria katika mojawapo ya visa vikubwa zaidi vya utekaji nyara kuwahi kushuhudiwa nchini humo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea).

Maafisa wa serikali katika jimbo la Kaduna wamethibitisha utekaji nyara huo katika shule ya Kuriga hapo jana Alhamisi, ila hawakutoa idadi kamili.

Mmoja wa walimu katika shule hiyo iliyoko mkoa wa Chikun, Sani Abdullah amesema walimu walifanikiwa kutoroka na wanafunzi wengi wakati wavamizi hao walipokuwa wakifyatua risasi hewani.

Mkaazi wa eneo hilo, Mohammad Adam ameliambia shirika la habari la Ufaransa – AFP kwamba, zaidi ya watoto 280 ndio waliotekwa nyara baada ya kufanya hesabu kwa umakini zaidi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Kimataifa

Palestina mwanachama wa 194 wa UN

Spread the loveBaraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Ijumaa limepitisha kwa...

Habari za SiasaKimataifa

Israel yatia shubiri Gaza wakisherehekea Hamas kusitisha mapigano

Spread the loveWAKATI kundi la Hamas huko Gaza likitangaza kuridhia pendekezo lao...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Mbivu, mbichi urais wa Ramaphosa mwezi huu

Spread the loveMWISHONI mwa mwezi huu, raia wa Afrika Kusini watapiga kura...

Habari za SiasaKimataifa

Mwanamke Rwanda ataka kupambana tena na Kagame

Spread the loveKIONGOZI wa kihistoria wa upinzani nchini Rwanda, Victoire Ingabire Umuhoza,...

error: Content is protected !!