Monday , 13 May 2024
Home Kitengo Biashara Cheza sloti na Meridianbet ujishindie Samsung A32
Biashara

Cheza sloti na Meridianbet ujishindie Samsung A32

Spread the love

KIPINDI hiki cha sikukuu kampuni bingwa ya michezo yakubashiri ya Meridianbet imekuja na promosheni kabambeambayo itatatoa ofa kwa washindi watakaocheza michezo yaKasino mitandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaaam … (endelea).

Meridianbet imeweka za aina tatu za Samsung ambazo ni A32 kwa mshindi wa kwanza mshindi wa pili atajishindia Samsung A23 na mshindi wa tatu atapokea kiasi cha shilingi laki tano zabonasi ambazo zitawekwa kwenye akaunti ya mteja ili aendeleekucheza michezo ya sloti.

Cheza michezo ya Kasino mitandaoni kila siku uwezekujishindia zawadi mbalimbali haswa katika kipindi hichicha sikukuu ambapo Meridianbet wametoa Promoshenimbalimbali ukicheza michezo ya Kasino mitandaoni kamaBook of Eksimo, Book of Egypty, Pinata Loca, Piggy Party.

Katika kipindi hichi cha sikukuu Meridianbet wamekuawakijitahidi kwa kiwango kikubwa kuhakikisha wateja wake wanafurahia sikukuu kwa kuweka promosheni mbalimbalikatika michezo tofauti tofauti ambayo imekua ikipatikana nakatika tovuti ya mtandao huo.

Mteja wa Meridianbet atapaswa kucheza michezo ifuatayo ilikuweza kushinda katika promosheni hiyo Battle for the Throne, Book of Egypty, Bounty Hunters, Spinning Biddha, The Book of Eksimo na hii ni baadhi ya michezo hiyo ipo mingi zaidi yahii ambayo itakwenda kumpa ushindi mteja wa Meridianbet.

Promosheni hii imeanza mwezi huu wa 12 tarehe 20 ambapoitadumu kwa siku kumi na tatu kwani itafika tamati mwezi wakwanza tarehe 02 mwaka 2024, Hivo wateja wote watatakiwakuhakikisha wanacheza kwa wingi michezo ya kasinomitandaoni ndani ya siku hizi ili kujinyakulia zawadi.

Promosheni hii ina vigezo na masharti yake kama ilivyopromosheni zingine ambazo zimekua zikiandaliwa naMeridianbet, Kwanza kabisa unapaswa kua na akaunti yaMeridianbet, Mteja anapaswa kushiriki kupitia akauntimoja,Meridianbet inabakia na haki ya sheria za ofa wakatiwowote lakini pia ina uwezo wa kusitisha ofa hiyo.

Cheza michezo ya Kasino mitandaoni kila siku uwezekujishindia zawadi mbalimbali haswa katika kipindi hichicha sikukuu ambapo Meridianbet wametoa Promoshenimbalimbali ukicheza michezo ya Kasino mitandaoni kamaBook of Eksimo, Book of Egypty, Pinata Loca, Piggy Party.

Ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Vuna mapene hadi Mil 400 ukicheza Expanse Tournament 

Spread the love  Promosheni ya kuvuna mahela ya Meridianbet bado inaendelea kusaka...

Biashara

Cheza Meridianbet kasino shinda mamilioni na Hot Shots

Spread the love  Hii ni kwa wapenzi wa michezo isiyo ya kasino...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Kigamboni siku ya Mama Duniani

Spread the loveMABIBGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet imefika kigamboni leo siku...

BiasharaHabari Mchanganyiko

PPAA yajipanga kuwanoa wazabuni namna kuwasilisha rufaa kieletroniki

Spread the loveIli kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi...

error: Content is protected !!