Monday , 13 May 2024
Home Kitengo Michezo Mtanzania mwingine aogopwa Ukraine, akalia ubao miezi miwili
Michezo

Mtanzania mwingine aogopwa Ukraine, akalia ubao miezi miwili

Spread the love

 

NI miezi miwili sasa tangu Shaktar Donetsk ya Ukraine kufanya mabadiliko kwenye benchi lao la ufundi kwa kumfukuza mwalimu Patrick Van Leeuwen na mikoba yake kupewa Marino Pusic (52) kukinoa kikosi hicho mpaka mwaka 2025-2026. Anaripoti Mwandishi WEtu, Dar es Salaam … (endelea).

Tangu kufanyika kwa mabadiliko ya benchi la ufundi kijana wa Kitanzania ambaye alifanya vizuri sana kwenye michezo kadhaa aliyopewa nafasi ya kucheza, hapa namzungumzia Novatus Miroshi Dismas ambaye kwa sasa hana tena nafasi katika kikosi hicho na muda mwingi anakalia ubao.

Hata hivyo watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwanini Novatus anakaa sana benchi, Je hana uwezo? au mabadiliko ya benchi la ufundi ni sababu ya kijana huyu kutopata nafasi?

Kwa mujibu wa Mwandishi wa Habari Nchini Ukraine amenukuliwa akisema kwamba “Sitaki kuamini kama sababu ni uwezo wake lakini kitendo cha Novatus kwenda hapo kwa mkopo akitokea Zulte naamini kuna hofu ya Shaktar kuendelea kumtumia kwakuwa wanahofia kumuweka kwenye njia ya kununuliwa na timu nyingine, kitu ambacho wao Shaktar hawanufaiki na chochote”

Kisha akamalizia kwa kusema “Ulaya vinaenda tofauti sana watu wanaangalia pesa kwanza”

Unaweza kufanya biashara yenye faida kubwa kwa mtaji mdogo wa kuanzia Tsh 200/= ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni ya MERIDIANBET, kubashiri soka kwa odds kubwa.

Kitu cha msingi hapa ni kuelewa kwamba Shaktar Donetsk ni miongoni mwa vilabu vinavyouza wachezaji kwenye timu nyingi Ulaya, ukiachana na klabu kama Ajax, Brighton, Tottenham, Sporting Lisbon, Dortmund nk.

Sambamba na hilo MERIDIANBET pia ndiyo chimbo pekee la maokoto kwa hapa Tanzania, bashiri mechi nyingi kwa odds kubwa, cheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni uwe moja kati ya washindi wa kila siku.

NB: Meridianbet ukijisajiri tu unapata bonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Leo mkwanja upo Meridianbet, usipishane nao

Spread the love  Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Michezo

Anza wikendi yako na Meridianbet, upige mkwanja wa maana

Spread the love Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Habari MchanganyikoMichezo

Arafat atoka bima na kurejea kwenye benki

Spread the loveRais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemteua Arafat Ally Haji kuwa...

Michezo

Unakosaje pesa ukiwa na Meridianbet leo

Spread the love Alhamisi ndio hii sasa mteja wa meridianbet ambapo leo...

error: Content is protected !!