Saturday , 18 May 2024
Home Kitengo Michezo Meridianbet yaja na promosheni ya utajiri
Michezo

Meridianbet yaja na promosheni ya utajiri

Aprili ya Kishua unaambiwaje jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza sloti ya kasino ya mtandaoni. Kujisajili bonyeza hapa: https://a.meridianbet.co.tz/c/rcVM7B

Spread the love

 

USIFANYE makosa katika kuutafuta utajiri haswa kwenye harakati zako za kila siku, hata iweje ishi na Imani ya kuwa siku moja utatoboa na utaheshimika magumu unayopitia yatapita. Meridianbet kupitia kasino ya mtandaoni wamekukumbuka mpambanaji na wamekuletea Promosheni kubwa ya ushindi, ni mgao wa Tsh milioni tano kwa washindi 15.

Kutoka Kasino ya Mtandaoni pekee ya Meridianbet kuanzia April 3 mpaka April 10 mwaka huu, kuna promosheni mpya na maalum kwako joka la kucheza sloti za michezo ya kasino ya mtandaoni. Cheza mchezo wowote uliochaguliwa wa Endorphina na ufurahie hali ya kusisimua itakayokupa mkwanja mrefu.

Sloti za Endorphina zilizopo ni kama Football 2022 yaani unacheza soka kama upo uwanjani vile au kwenye PS4, Chance machine 20, Book of Santa, Book stoker, Story of Xmass, 100 Zombies, The Vampires II, Book of Vlad, The Emirates II, Fisher King, Solar Eclipse ama kupatwa kwa jua na mingine mingi.

April ya kishua unaweza kuwa mshua kwa sababu, una nafasi ya kujishindia mgao wako wa zawadi kabambe ya Sh. 5,000,000 kutoka kwenye droo ya zawadi yenye sloti rahisi kushinda.

Washindi wanapatikanaje?

Mwisho wa shindano, wachezaji wataorodheshwa kulingana na idadi ya mizunguko waliyocheza, na wachezaji 15 wa kwanza watajishindia zawadi kama ifuatavyo:

Nafasi ya 1: TSH 1,200,000

Nafasi ya 2: TSH 880,000

Nafasi ya 3: TSH 630,000

Nafasi ya 4: na 5: TSH 380,000 kila mmoja

Nafasi ya 6: mpaka 10: TSH 200,000 kila mmoja

Nafasi ya 11: mpaka 15: TSH 100,000 kila mmoja

Si utani, mawindo yameanza! Saka utajiri na Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Uingereza, Hispania, Italia na Ufaransa kinawaka leo

Spread the loveLIGI mbalimbali barani ulaya kuendelea leo na michezokadhaa mikali itakwenda...

Michezo

Leo mkwanja upo Meridianbet, usipishane nao

Spread the love  Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Michezo

Anza wikendi yako na Meridianbet, upige mkwanja wa maana

Spread the love Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Habari MchanganyikoMichezo

Arafat atoka bima na kurejea kwenye benki

Spread the loveRais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemteua Arafat Ally Haji kuwa...

error: Content is protected !!