Friday , 17 May 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Wanne wauawa shambulio la Urusi kituo cha matibabu Kharkiv
Kimataifa

Wanne wauawa shambulio la Urusi kituo cha matibabu Kharkiv

Spread the love

 

RAIA wanne wameuwawa Ukraine na wengine kadhaa , kujeruhiwa baada ya shambulio la Urusi kupiga kituo cha matibabu huko Khirkiv, Polisi wa eneo hilo wameripoti. Inaripoti BBC … (endelea).

Kharkiv ni jiji la pili kwa ukubwa nchini Ukraine , na liko karibu na mpaka wa Urusi upande wa Mashariki.

Leo Ijumaa asubuhi tarehe 25 machi 2022 , kulifuatia mashambuli ya mabomu kwenye miundombinu ya kiraia ambapo raia saba wamejeruhiwa na wengine wanne kufariki.

Mashambulizi hayo yalilenga kituo cha matibabu katika wilaya ya Osnovyansky ya jiji hilo.

BBC bado haijathibitisha taarifa hiyo .Vikosi vya Urusi vimekuwa vikijaribu kuizingira Kharkiv bila mafanikio.

Mwandishi wa BBC Quentin Sommervile, amesema kuwa upinzani wa Ukraine katika mji huo , umekatisha tamaa Warusi ambao wamegeukia mashambuluzi ya mizinga na kuharibu vitongoji vyote .

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaKimataifa

Bunge kumuweka katibu mkuu wa EAC kikaangoni

Spread the loveAliyekuwa Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dk. Peter...

Kimataifa

Palestina mwanachama wa 194 wa UN

Spread the loveBaraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Ijumaa limepitisha kwa...

Habari za SiasaKimataifa

Israel yatia shubiri Gaza wakisherehekea Hamas kusitisha mapigano

Spread the loveWAKATI kundi la Hamas huko Gaza likitangaza kuridhia pendekezo lao...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Mbivu, mbichi urais wa Ramaphosa mwezi huu

Spread the loveMWISHONI mwa mwezi huu, raia wa Afrika Kusini watapiga kura...

error: Content is protected !!