Saturday , 4 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa #LIVE- Ndugai amuibua James Mbatia
Habari za Siasa

#LIVE- Ndugai amuibua James Mbatia

Spread the love

 

MWENYEKITI wa chama cha upinzani Tanzania- NCCR-Mageuzi, James Mbatia anazungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo kujiuzulu kwa Job Ndugai kuwa Spika wa Bunge la nchi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Ndugai alitangaza kujiuzulu jana Alhamisi, tarehe 6 Januari 2022.

Fuatilia matangazo haya moja kwa moja kutoka makao makuu ya NCCR-Mageuzi, Ilala jijini Dar es Salaam.

https://youtu.be/c3y_od59T8c

1 Comment

  • Hatuna muda ya kumsikiliza kiongozi ambaye hana uwezo wa kuongoza isipokuwa anao uwezo wa kujiongza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya afutiwa kesi, ruksa kugombea uongozi

Spread the loveMwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali DPP leo Ijumaa amefuta rufaa...

Habari za Siasa

Serikali yasaka bilioni 3 kujenga daraja Mto Mpiji

Spread the loveSerikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kwafukuta kisa chaguzi, Lissu aibua tuhuma nzito

Spread the loveCHAGUZI za kusaka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

error: Content is protected !!