January 28, 2022

Uhuru hauna Mipaka

#LIVE-Rais Samia ashiriki matembezi Pemba

Spread the love

 

MWENYEKITI wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan anashiriki kilele cha matembezi ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pemba … (endelea).

Matembezi hayo yanafanyika leo Ijumaa, tarehe 7 Januari 2022, Wilaya ya Mkoani, Kusini Pemba

Fuatilia moja kwa moja kinachoendelea

error: Content is protected !!