January 17, 2022

Uhuru hauna Mipaka

#LIVE- Ndugai amuibua James Mbatia

Spread the love

 

MWENYEKITI wa chama cha upinzani Tanzania- NCCR-Mageuzi, James Mbatia anazungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo kujiuzulu kwa Job Ndugai kuwa Spika wa Bunge la nchi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Ndugai alitangaza kujiuzulu jana Alhamisi, tarehe 6 Januari 2022.

Fuatilia matangazo haya moja kwa moja kutoka makao makuu ya NCCR-Mageuzi, Ilala jijini Dar es Salaam.

error: Content is protected !!