Friday , 3 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Nane wafariki dunia gari likitumbukia mtoni Tanga
Habari Mchanganyiko

Nane wafariki dunia gari likitumbukia mtoni Tanga

Spread the love

WATU nane wamefariki dunia wilayani Handeni mkoani Tanga, baada ya gari walilokuwa wanasafiria, kutumbukia mtoni. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).

Akizungumza na MwanaHALISI Online kwa njia ya simu, leo tarehe 26 Oktoba 2019, Edward Bukombe, Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, amesema anafuatilia tukio hilo. 

Kamanda Bukombe amesema yuko njiani kuelekea eneo la tukio, na kwamba atatoa taarifa kamili kuhusu tukio hilo, pindi atakapofika eneo la tukio.

“Hizo taarifa nimezipata na sasa hivi niko barabarani naelekea eneo la tukio, nikifika nitawajulisha kilichotokea. Maana kwa sasa niko mbali na tukio,” amesema Kamanda Bukombe.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

Habari MchanganyikoKimataifa

Ruto amteua Kahariri kuwa mkuu wa majeshi

Spread the loveRAIS wa Kenya, William Ruto, amemteua Jenerali Charles Muriu Kahariri,...

Habari Mchanganyiko

Chongolo aonya viongozi vijiji kutouza NIDA kwa wageni

Spread the loveMKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amewaonya viongozi wa...

error: Content is protected !!