Saturday , 27 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Papa Francis ambusu miguu Salvar Kiir, ataka aache mapigano
Habari Mchanganyiko

Papa Francis ambusu miguu Salvar Kiir, ataka aache mapigano

Spread the love

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amempigia magoti Rais wa Sudani Kusini, Salvar Kiir akimsihi kiongozi huyo kuachana na mapigano katika taifa lake. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea).

Papa Francis amefanya tukio hilo jana tarehe 11 Aprili 2019 alipokutana na Rais Salvar Kiir pamoja na Mpinzani wake Riek Machar, mjini Vatcan.

Kwa mujibu wa video uliyosambazwa katika vyombo vya habari vya kimataifa, inamuonesha Papa Francis akiwabusu miguuni wanasiasa hao, kama ishara ya kuwasihi kuachana na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na kudumisha amani nchini Sudan Kusini.

Salva Kiir aliingia madarakani tangu Sudani Kusini ilipopata uhuru mwaka 2011, kisha mwaka 2013 vita vya wenyewe kwa wenyewe vilizuka nchini humo, vilivyosababishwa na uhasama kati ya Rais Kiir na Machar ambaye alikuwa na mikakati ya kumrithi.

Mnamo mwezi Julai mwaka  jana, Rais Kiir aliingia mkataba wa amani na mpinzani wake Riek Machar, ambapo wote kwa pamoja walikubaliana kusitisha mapigano ya wenyewe.

Attachments area

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Mvungi aendesha kikao kazi cha wataalam wa Regrow

Spread the love  MKURUGENZI wa Idara Sera na Mipango Wizara ya Maliasili...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jacob, Malisa waachiwa kwa masharti

Spread the love  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,...

Habari Mchanganyiko

Polisi wakanusha kufanya uzembe ajali iliyouwa mwandishi Ayo Tv

Spread the loveJESHI la Polisi limekanusha tuhuma zilizoibuliwa dhidi yake  kwamba limekawia...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia kuzindua gazeti litakalotoa habari za wafanyakazi Tanzania

Spread the loveSHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), liko mbioni kufufua...

error: Content is protected !!