Sunday , 28 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Wachimbaji madini wapewa somo
Habari Mchanganyiko

Wachimbaji madini wapewa somo

Wachimbaji wadogo wa Dhahabu
Spread the love

WACHIMBAJI wadogo wa madini wametakiwa kuzingatia taratibu za kitalaam wakati wa uchimbaji ili kuepuka ajali  maeneo hayo, anaandika Mwandishi wetu.

Haya yamebainishwa na Mkuu wa mkoa wa Mara Charles Mlingwa wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa tatu wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA),  jijini Mwanza.

Amesema suala la usalama migodini ni muhimu na lazima lizingatiwe katika hatua za mwanzo za uchimbaji.

Amesema ni lazima kuchukua tahadhari katika maeneo ya migodini na kwamba wasiochukua hatua hizo za kulinda usalama serikali itaifungia.

Kwa upande wake Rais wa FEMATA, John Wambura  amesema bado wanakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo za elimu duni ya uchimbaji, uongezaj thamani na uchenjuaji wa madini.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Mvungi aendesha kikao kazi cha wataalam wa Regrow

Spread the love  MKURUGENZI wa Idara Sera na Mipango Wizara ya Maliasili...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jacob, Malisa waachiwa kwa masharti

Spread the love  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,...

Habari Mchanganyiko

Polisi wakanusha kufanya uzembe ajali iliyouwa mwandishi Ayo Tv

Spread the loveJESHI la Polisi limekanusha tuhuma zilizoibuliwa dhidi yake  kwamba limekawia...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia kuzindua gazeti litakalotoa habari za wafanyakazi Tanzania

Spread the loveSHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), liko mbioni kufufua...

error: Content is protected !!