Wednesday , 8 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Polisi wamwachia Tundu Lissu
Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamwachia Tundu Lissu

Lazaro Mambosasa, Kamanda wa Polisi Dar es Salaam
Spread the love

TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, ameachiwa na Jeshi la Polisi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)

Lissu alikamatwa leo Jioni Jumatatu tarehe 2 Novemba 2020 akiwa anatoka Ofisa za Umoja wa Ulaya zilizopo Posta jijini Dar es Salaam.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa alisema walimkamata kwa ajili ya mahojiano.

Katika mtandao wa Twitter wa Chadema wameandika “Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Tundu Lissu ameachiwa na Jeshi la Polisi baada ya kumuhoji kwa zaidi ya masaa mawili.”

3 Comments

  • Balozi kadha jijini zimetoa matamshi kuhusu UCHAGUZI
    SIJAONA HATA GAZETIO MOJA LIMETOA HABARI HIZO

  • Vyombo vya habari vinahofia kushughulikiwa kikamilifu na dola iwapo zingetoa habari hizo za matamko……

  • Tumezoea kusikia udikteta wa Mseven dhidi ya Kiiza Besje, Burundi Rwanda nk, nasi yametufika, siendelei kusema nisije__

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Samia: Matumizi ya nishati safi sio anasa, ladha ipo

Spread the loveRAIS Samia Suluhu Hassan amesema matumizi ya nishati safi kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Samia: Kuanzia Agosti marufuku kutumia mkaa, kuni

Spread the loveRAIS Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mwendokasi Kigogo – Segerea kujengwa awamu ya 5

Spread the loveNaibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Festo Dugange...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Rais Samia ni Mzanzibari: Shida Iko Wapi?

Spread the loveTAIFA linakabiliwa na upungufu wa fikra sahihi. Upungufu huu unaonekana...

error: Content is protected !!