Milioni 39 wapona corona duniani

Spread the love

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani yamefikia milioni 56.1, waliopona milioni 39.1 na waliofariki kutokana na ugonjwa huo wakiwa milioni 1.3. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Mtandao wa worldometer hadi leo jioni Jumatano tarehe 18 Novemba 2020 umeripoti, Marekani inaongoza kwa kuwa na maambukizo milioni 11.69 kati yao, milioni saba wamepona na waliofariki wakiwa 254,315.

India inafuatia nafasi ya pili ikiwa na maambukizo milioni 8.92, waliopona milioni 8.3 na waliofariki dunia kutokana na virusi hivyo wakiwa 131,114.

Taifa la Brazil linashika nafasi ya tatu likiwa na maambukizo milioni 5.9, kati ya hao waliopona milioni 5.3 na waliofariki dunia wakiwa 166,743.

China ambako ugonjwa huo unaelezwa ulianzia mwishoni mwa mwaka 2019, inashika nafasi ya 65 duniani ikiwa na maambukizo 86,369, kati ya hao, waliopona ni 81,411 na vifo vikiwa 4,634.

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani yamefikia milioni 56.1, waliopona milioni 39.1 na waliofariki kutokana na ugonjwa huo wakiwa milioni 1.3. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mtandao wa worldometer hadi leo jioni Jumatano tarehe 18 Novemba 2020 umeripoti, Marekani inaongoza kwa kuwa na maambukizo milioni 11.69 kati yao, milioni saba wamepona na waliofariki wakiwa 254,315. India inafuatia nafasi ya pili ikiwa na maambukizo milioni 8.92, waliopona milioni 8.3 na waliofariki dunia kutokana na virusi hivyo wakiwa 131,114. Taifa la Brazil linashika nafasi ya tatu likiwa na maambukizo milioni 5.9, kati ya hao waliopona milioni 5.3 na waliofariki dunia wakiwa 166,743. China…

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!