Saturday , 27 April 2024

Day: September 16, 2020

Michezo

KCB yamwaga mamilioni Ligi Kuu

BENKI ya KCB imeingia mkataba wa mwaka mmoja na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’ wenye thamani ya Tsh 500 Milioni kwa...

Habari Mchanganyiko

Watumishi 24 watunukiwa vyeti mafunzo teknolojia ya 5G

KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dk. Zainabu Chaula amesema, jitihaza zinapaswa kufanyika ili kuhakikisha kujifunza maarafi na ujuzi wa kisasa...

Habari za Siasa

Lissu ‘afukua makaburi’ Mbarali

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, ugomvi wa wakulima na wafugaji ‘ni la kuundwa.’ Anaripoti...

Habari za Siasa

Majaliwa awahamasisha wananchi kujikita kwenye kilimo

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Singida waingie kwenye kilimo...

Elimu

Magufuli amtetea mkuu Shule iliyoteketea Kagera 

SELEMAN Abdul, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Byamungu Islamic, iliyopo Kyerwa mkoani Kagera, ametetewa na Rais John Pombe Magufuli, mgombea urais wa...

Habari za Siasa

Magufuli ahofia kura za jazba

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli ameeleza kuhofia jazba katika upigaji kura kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika...

Habari Mchanganyiko

Kamanda Shana afariki dunia

ALIYEKUWA Ofisa Mnadhimu wa Chuo cha Polisi Moshi (CCP), Jonathan Shana amefariki dunia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam...

error: Content is protected !!