Daily Archives: October 3, 2017

Kada wa Chadema aliyesota rumande apata dhamana

Nyundo ya Hakimu

KADA wa Chadema wiyani Chato, Obadiah Kiko (41), amepanidhishwa kizimbani jijini Dar es Salaam akituhumiwa kuchapisha “taarifa za uongo juu ya serikali,” anaandika Faki Sosi. Ndani ya chumba cha Mahakama ...

Read More »

Serikali yafanya msako uuzaji mbolea

Mifuko ya mbolea

MAMLAKA ya Udhibiti wa Mbolea nchini (TFRA) imewataka wafanyabiashara wakubwa na wa kati kuzingatia bei elekezi ya uuzaji wa mbolea na uhifadhi wake kama taratibu zinavyoelekeza ili wakulima waweze kupata ...

Read More »

Vurugu zafunga chuo cha Nairobi

Chuo  Kikuu cha Nairobi

CHUO  Kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda usiojulikana na Wanafunzi chuoni hapo wameamriwa kuondoka chuoni hapo  leo, anaandika Hamis Mguta. Uamuzi huo umefikiwa na Seneti ya chuo kutokana na suala ...

Read More »

Migogoro ya ardhi yavuruga vijiji

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, William Lukuvi

SERIKALI imeombwa kutoa elimu kwa viongozi wa ngazi za vijiji  ili waweze kusimamia na kuzitumia sheria ndogo za ardhi zilizopo kwa ajili ya  migogoro ya ardhi, anaandika Christina Haule. Ombi ...

Read More »

Chadema Morogoro  waangusha maombi kwa Lissu

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki, akilia kwa uchungu

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kanda ya kati pamoja na uongozi wa Chadema mkoa wa Morogoro wameungana kufanya maombi ya kumwombea mbunge wa Singida Mashariki ,  Tundu ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube