Wednesday , 6 December 2023
Home Kitengo Michezo Usiku wa Ulaya Jumatano hii unasindikizwa na mkwanja kutoka Meridianbet
Michezo

Usiku wa Ulaya Jumatano hii unasindikizwa na mkwanja kutoka Meridianbet

Spread the love

MICHEZO mbalimbali itapigwa leo Jumatano katika ligi yamabingwa ulaya ambapo michezo hiyo itasindikizwa namikwanja ya kutosha kutoka Meridianbet, Hii ni kwa wale ambao wataweza kuibuka videdea katika majamvi yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Michezo ya ligi ya mabingwa itakayopigwa leo katika viwanjambalimbali barani itampa fursa mteja wa Meridianbet kujipigiamaokoto, Kwani michezo ya leo imepewa ODDS KUBWA na zakutosha hivo kwa yeyote ambaye atasuka jamvi lake leo kwautulivu ana nafasi ya kujipigia mapene ya kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri wamewekaODDS KUBWA na za kibabe katika michezo yote ambayoitakwenda kupigwa leo katika viwanja mbalimbali barani ulaya.

Manchester United baada ya kushinda mchezo wao wa kwanza katika ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Fc Copenhagen wakiwanyumbani mchezo uliokua mgumu sana, Leo watarudiana naklabu hiyo wakiwa ugenini mchezo utakaopigwa nchiniDenmark ambapo Copenhagen watakua wenyeji wa mchezohuo.

Vinara wa kundi A klabu ya Bayern Munich leo watashukadimbani dhidi ya Galatasaray wakiwa katika dimba lao la nyumbani la Allianz Arena wakihitaji kujihakikishia nafasi yakufuzu hatua ya 16 bora.

Pale katika dimba la Emirates utapigwa mchezo mkali kati yaklabu ya Arsenal ambapo watakua nyumbani kuwakaribishaklabu ya Sevilla kutoka nchini Hispania, Mchezo ambaounatarajiwa kua mgumu kwakua kila timu inahitaji alama tatu ilikujiweka katika mazingira mazuri ya kufuzu hatua inayofuata.

Napoli watakua nyumbani katika dimba lao la Diego Armando Maradona wakiwakaribisha klabu ya Union Berlin ambayompaka sasa haijapata alama katika mchezo wowote wa kundi C, Jambo ambalo linaweza kufanya mchezo huo kua mgumu kwaniUnion Berlin watahitaji kupata alama huku Napoli naowakihitaji alama tatu ili kufuzu hatua inayofuata ya 16 bora.

Real Madrid vinara wa kundi C wakiwa na alama zao 9 leowatakua nyumbani katika dimba lao la Santiago Bernabeuwakihitaji alama tatu muhimu ili kufuzu hatua ya 16 bora ya ligiya mabingwa ulaya, Huku wageni wakiwa klabu ya Sporting Braga ambao mpaka sasa wamekusanya alama tatu mpaka sasakatika kundi hilo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Piga mkwanja wa kutosha katika usiku wa kibabe kati ya Man United vs Chelsea

Spread the love USIKU wa leo katika dimba la Old Trafford utapigwa mchezowa...

BiasharaMichezo

Mwana FA anogesha Tamasha la Exim Bima Festival

Spread the loveNAIBU Waziri Wa Utamaduni, Sanaa Na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘Mwana...

Michezo

Manchester City dhidi ya Tottenham ni usiku wa kisasi

Spread the love KIPUTE kati ya klabu ya Manchester City dhidi yaTottenham Hotspurs...

Michezo

Wikiendi ya kutamba na Meridianbet hii hapa usikubali kuikosa

Spread the loveMERIDIANBET wanakwenda kukupa nafasi ya kutambawikiendi hii kupitia ODDS KUBWA walizoweka...

error: Content is protected !!