Friday , 19 April 2024
Home Kitengo Michezo Suka mkeka wako hapa na Meridianbet leo
Michezo

Suka mkeka wako hapa na Meridianbet leo

Spread the love


Habari mteja wa meridianebt?. Je wajua kuwa Jumapili ya leo inaweza kubadili ndoto zako za maisha endapo utaweka dau lako dogo tuu na kuanza kubashiri mechi zako leo?.

Ufaransa LIGUE 1, nayo itapigwa kama kawaida ambapo Nantes atacheza dhidi ya FC Metz. Mwenyeji yupo nafasi ya 12 na mgeni yupo nafasi ya 17, huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 8 pekee. Suka mkea wako hapa na ubashiri.

Huku naye Toulouse atakuwa mwenyeji wa OGC Nice ambaye yupo nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi na meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii kwa ODDS 2.25 kwa 3.33. Mara ya mwisho kukutana Nice alishinda. Je leo hii mwenyeji atashinda?. Tengeneza jamvi lako hapa.

Lakini pia Stade Brest 29 atakiwasha dhidi ya Le Havreambaye alipoteza mechi yake mchezo uliopita. Na leo hii amepewa ODDS 5.88 kwa 1.59 kushinda mechi hii, huku mwenyeji alishinda mechi ya mzunguko wa kwanza. Je leo hii mgeni atalipa kisasi?. Beti sasa.

Usiishie kubashiri tuu, cheza pia michezo ya Kasino yaMtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Pale EPL yani ligi kuu za Uingereza kutakuwa na mechi mbili kabambe huku mechi kubwa kabisa ni hii za Manchester Derby ambapo Manchester City atamkaribisha Etihad Manchester United ambaye kushinda mechi hii kapewa ODDS 9.40 kwa 1.26. Mara ya mwisho kukutana, United alichapika. Je leo hii Manchester itakuwa ya Bluu au Nyekundu?. Beti hapa.

Mechi ya pili ni hii ya mwenyeji Burnley dhidi ya AFC Bournemouth ambaye yupo nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi na mwenyeji wake akiwa ya 19. Mechi hii itapigwa saa 10:00 jioni huku nafasi ya kuondoka na pointi tatu akipewa mgeni kwa ODDS 2.02 kwa 3.43. Weka jamvi lako sasa.

Na sasa tunahamia kule LALIGA ambapo Atletico Madridatakiwasha dhidi ya Real Betis huku kumbukumbu zikiwajia kuwa mehi ya mwisho walitoka bila ya kufungana. Diego Simeone na vijana wake wamepewa ODDS 1.57 ka 5.48 kushinda mechi hii. Je leo hii nani kuondoka kifua mbele na pointi tatu?. Suka jamvi lako hapa sasa.

Saa 2:30 usiku RCD Mallorca atamualika kwake Gironaambaye amekuwa na kiwango kikubwa msimu huu akishika nafasi ya pili hadi sasa. Mgeni amepewa 2.25 kwa 3.23 kushinda mechi hii. Je mgeni kuendeleza ubabe wake leo hii? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Usiku wa saa 5:00 Athletic Bilbao atakiwasha dhidi ya FC Barcelona ambao wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 5 tofauti za pointi kati yao ni 8 pekee. Xavi na vijana wake wamepewa ODDS 2.40 kwa 2.84 kushinda mechi hii. Jisajili ubeti hapa.

Lakini vilevile kule SERIE A, kitawaka sana leo ambapoFrosinone atakipiga dhidi ya US Lecce huku timu zote zikiwa zimetoka kupoteza mechi zao zilizopita. 2.30 kwa 3.14 ndio ODDS za mechi hii. Mara ya mwisho kukutana, mgeni alishinda. Je leo hii mwenyeji kulipa kisasi?.

Naye Atalanta atakuwa uso kwa uso dhidi ya Bologna huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni pointi mbili pekee. Timu zote zinataka ushindi huku mwenyeji akitaka kulipa kisasi baada ya mechi ya kwanza kupoteza. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Beti sasa.

Mechi kubwa Italia leo hii ni hii hapa inayowakutanisha kati yaNapoli dhidi ya Juventus ambao wanafukuzia taji la ligi hiyo kwa kushika nafasi ya pili. Timu zote zimetoka kushinda mechi zao zilizopita huku Allegri na vijana wake wakipewa ODDS  3.23 kwa 2.33 kushinda mechi hii. Suka mkeka wako na ubeti hapa.

Kule Ujerumani BUNDESLIGA kuna mechi mbili pekee ambapo mechi ya mapema kabisa ni ya vinara wa ligi Bayer Leverkusen chini ya kocha mkuu Xabi Alonso watakuwa ugenini dhidi ya FC Cologne ambao wana ODDS 7.44 kwa 1.37 kushinda mechi hii. Beti sasa.

Saa 1:30 TSG Hoffenheim atakuwa mwenyeji wa Werder Bremen huku mara ya mwisho kukutana mwenyeji alishinda. 1.96 na 3.47 ndio ODDS za mechi hii. Unasubiri nini sasa?. Suka mkeka wako na ubeti mechi hii.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Leo ni leo nani kutinga nusu fainali UEFA?

Spread the love HATIMAYE Jumanne ya UEFA imefika ambapo leo hii michezo...

Michezo

Anza Jumatatu yako na Meridianbet

Spread the love  IKIWA ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi...

Habari MchanganyikoMichezo

NBC, Yanga wazindua kadi  za kimataifa za uanachama

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Klabu...

Michezo

TFF, Amrouche ngoma nzito

Spread the loveVIPENGELE vya mkataba wa kazi aliotia saini Kocha Mkuu wa...

error: Content is protected !!