Friday , 19 April 2024
Home Kitengo Biashara Rusha ndege ya Aviator kasino ushinde TV, Smartphone na beti za bure
Biashara

Rusha ndege ya Aviator kasino ushinde TV, Smartphone na beti za bure

Spread the love

 

MTAJI wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, na mtaji wa tajiri ni pesa zake, utachagua wewe kutumia nguvu nyingi au kutumia pesa kidogo kisha unapata pesa nyingi na mizawadi kede kede, kwa dau la kuanzia 200 TZS tu kwenye Aviator unaweza kushinda TV inch 55, Simujanja mpyaa, na beti za bure mpaka 200,000/= TZS kama bonasi.

 Promosheni hii unaipata kutoka Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ni kwa mchezo pekee wa Aviator ambao umekuwa pendwa sana kwa wachezaji wengi. Kubwa zaidi kila unapocheza Aviator ya Meridianbet kasino ya mtandaoni unaokota zaidi.

Fahamu Zaidi Kuhusu Promosheni.

Matangazo ya Madau kwa Ndege ya Zawadi ya Aviator imeanza tangu 21.02.2024 hivyo una nafasi kubwa Zaidi ya kushinda, kwa sababu bado hujachelewa.

Promosheni hii ni halali kwa wateja waliosajiliwa pekee kwenye tovuti na programu za simu za Meridianbet, hivyo kwa kutembelea Kasino ya Mtandaoni unaweza kuanzisha safari yako ya kurusha ndege ya Aviator na kuwa Rubani mshua Zaidi.

Kushinda ni rahisi; Unapokea pointi 15 kwa kila TZS 3000 zinazochezwa kwenye Aviator, na pointi 1 kwa kila mzunguko wa kasino ya mtandaoni unaochezwa.

Wachezaji bora wakati wa Aviator Gift Flight watapokea zawadi zifuatazo kutoka Meridianbet:

Nafasi ya 1 – Samsung TV inchi 55

        Nafasi ya 2 – Samsung A24

        Nafasi ya 3 na ya 4 – Beti za Bure za TZS 200,000 kwenye Aviator

        Nafasi ya 5-6 – Beti za Bure za TZS 100,000 kwenye Aviator

        Nafasi ya 7-10 – Beti za Bure za TZS 50,000 kwenye Aviator

Kwa Kujisajili na Meridianbet, moja kwa moja unakuwa umekidhi vigezo vya kushiriki promosheni hii yenye manufaa Zaidi kwako.

NB: Ili kushiri promosheni hii ni lazima uwe Umejisajili na Meridianbet na kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB Pesa Akaunti yawavutia wakaguzi wa ndani Afrika

Spread the loveUbunifu wa bidhaa bora wa Benki ya NMB pamoja na...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Makongo

Spread the love  MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imefika...

BiasharaMakala & Uchambuzi

Kanda ya Ziwa yaonyesha NMB inavyosaidia afya ya mama na mtoto

Spread the loveMafanikio inayozidi kupata Tanzania katika kupunguza vifo vya mama na...

Biashara

Shinda mpaka 1,250,000/= ukicheza shindano la Expanse Kasino

Spread the love  KUBWA zaidi kutoka Meridianbet ni promosheni ya Expanse ambayo...

error: Content is protected !!