March 3, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Kambi ya Lipumba yapata ajali, wanne wafariki

Spread the love

WAFUASI wanne wa Chama cha Wananchi wamefariki katika ajali iliyotokea leo alfajili waliokuwa wakitoka kwenye sherehe za kuapishwa kwa wabunge wanane wa CUF, anaandika Faki Sosi.

Wafuasi hao wanaodaiwa kutoka Tanga walikuwa wakisafiri kutoka Dodoma kurudi Tanga ambapo walikumbwa ajali hiyo iliyojeruhi sita.

Ajari hiyo imetokea Mwidu karibu na Ubena mkoani Morogoro.

MwanaHALISI Online itakuletea taarifa kamili muda mfupi ujao.

error: Content is protected !!