Friday , 17 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Samia asisitiza amani Sikukuu ya Eid Al Fitr
Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia asisitiza amani Sikukuu ya Eid Al Fitr

Rais Samia Suluhu Hassan
Spread the love

 

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania wote kuendelee kudumisha haki, umoja, amani na mshikamano kwenye Sikukuu ya Eid al -Fitr. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Kupitia kurasa rasmi za mitandao za mkuu huyo wa nchi leo tarehe 10 Aprili 2024, Rais Samia ameandika; “Nawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr, tukimshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa baraka ya kuhitimisha funga na ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

“Mwenyezi Mungu atuonaye tunaposimama na mageuko yetu kati ya wanaosujudu, Mwenye kusikia na kupokea dua zetu; aendelee kutubariki na kudumisha Taifa letu katika haki, umoja, amani na mshikamano; katika misingi ya kufanya yaliyo mema, kujali na kutumikia wengine kwa upendo na weledi, na mioyo iliyojaa shukrani na ibada kwake” ameandika Rais Samia.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Udhibiti wa serikali wakera asasi za kiraia

Spread the loveBaadhi ya wadau wa demokrasia na viongozi wa asasi za...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Nape aomba bajeti ‘kiduchu’ kwa mwaka 2024/25

Spread the loveWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Seneta: Wanasiasa hawasaidii mchakato wa Katiba mpya

Spread the loveSeneta wa jimbo la Busia, nchini Kenya, Okiya Okoiti Andrew...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

ACT-Wazalendo yasusia uchaguzi wa ubunge Zanzibar

Spread the loveCHAMA cha ACT-Wazalendo, kimegoma kushiriki uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo...

error: Content is protected !!