Sunday , 12 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Karume ataka ACT, CCM wainusuru SUK
Habari za Siasa

Karume ataka ACT, CCM wainusuru SUK

Rais mstaafu Amani Karume
Spread the love

WAKATI Chama cha ACT-Wazalendo kikitangaza nia ya kujiondoa kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa – Zanzibar (SUK), Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume amewataka viongozi wa pande zote kukaa chini kuzungumza. Anaripoti Faki Sosi …(endelea).

Akihojiwa na UTV Visiwani Zanzibar, Karume  amesema kuwa kitendo cha viongozi kutaka kujiondoa kwenye serikali ni kukimbia majukumu yao.

“Hapo nyuma yalishatokea matatizo makubwa kuliko haya tukasema tukae chini yakazungumzwa” amesema Karume.

Karume amesema kuwa suluhu ya matatizo yote ni watu kukaa chini kuzungumza kwa pamoja “Wakae chini wazungumze watafute suluhisho”

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Biteko: Serikali itaendelea kushirikiana na Red Cross

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Dk.Mpango aagiza trafki kuvaa makoti ya kamera kudhibiti rushwa

Spread the loveMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk....

Habari za SiasaKimataifa

Palestina mwanachama wa 194 wa UN

Spread the loveBaraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Ijumaa limepitisha kwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Vijana UVCCM Kagera wataka mwenyekiti wao ajiuzulu

Spread the loveVIJANA wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera wamemtaka Mwenyekiti...

error: Content is protected !!