Friday , 17 May 2024
Home Kitengo Michezo Weka mkeka wako na mechi za leo ndani ya Meridianbet
Michezo

Weka mkeka wako na mechi za leo ndani ya Meridianbet

Spread the love

 

MERIDIANBET leo hii kutakuwa na mechi mbalimbali ambazo zinaendelea na ambazo tayari zina ODDS KUBWA za kukupatia wewe mkwanja wa maana endapo utachagua machaguo mazuri.

Kombe la FA Uingereza leo hii Raundi ya 4 ni Southampton dhidi ya Watford FC ambapo timu hizi zote zinatokea ligi daraja la kwanza, yani Champioship huku meridianbet wakimpa Soton nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.54 kwa 5.09. Mechi hii itapigwa katika dimba la St Mary’s. Bashiri sasa.

Mechi nyingine ya kukupatia maokoto ni hii ambayo inayowakutanisha Plymouth Argyle dhidi ya Leeds United huku mechi ya kwanza walipokutana walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Leeds kushinda amepewa ODDS 1.60 kwa 4.60 kwa mwenyeji. Kwenye Championship mwenyeji yupo nafasi ya 15 na mgeni yupo nafasi ya 3. Nani kuibuka kidedea leo?. Beti hapa sasa.

Vilevile, meridianbet wanakusisitiza kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman na mingine kibao ya Sloti ambayo inatolewa hapa. Ingia na ucheze sasa.

Huku Coventry City watakiwasha dhidi ya Sheffield Wednesday ambao wamepewa ODDS 5.48 kwa 1.52 kushinda mechi hii. Mechi ya kwanza walitoa sare huku timu zote zikitoka kuchapika kwenye mechi zao za ligi zilizopita. Je leo hii nani atasonga mbele. Jisajili sasa.

Pia Copa del Rey hatua ya nusu fainali leo hii kutakuwa na mchezo mmoja tuu ambao utawakutanisha kati ya Mallorca dhidi ya Real Sociedad ambapo mechi ya mwisho kuonana, Sociedad alishinda. Kwenye Laliga mwenyeji yupo nafasi ya 17 na mgeni wake yupo nafasi ya 6. Je nani kuondoka na ushindi leo?. Mechi hii imepewa ODDS 3.22 kwa 2.55. Ingia meridianbet na ubashiri hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Uingereza, Hispania, Italia na Ufaransa kinawaka leo

Spread the loveLIGI mbalimbali barani ulaya kuendelea leo na michezokadhaa mikali itakwenda...

Michezo

Leo mkwanja upo Meridianbet, usipishane nao

Spread the love  Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Michezo

Anza wikendi yako na Meridianbet, upige mkwanja wa maana

Spread the love Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Habari MchanganyikoMichezo

Arafat atoka bima na kurejea kwenye benki

Spread the loveRais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemteua Arafat Ally Haji kuwa...

error: Content is protected !!