Friday , 17 May 2024
Home Kitengo Michezo Tusua mapene kibabe na mechi za leo ndani ya Meridianbet
Michezo

Tusua mapene kibabe na mechi za leo ndani ya Meridianbet

Spread the love

 

KAMA kawaida mechi za AFCON zinaendelea hii leo kwenye mechi za raundi ya pili zikiwa zote zinapambanaia kupata ushindi, na wewe kama mteja wa meridianbet pambana upate maokoto yako mapema kwa kubashiri na meridianbet.

Mechi ya kutazama leo hii na ya kibabe ni hapa ya Egypt dhidi ya Ghana ambao wote wanawania pointi tatu ambazo timu zote hazijazipata kwenye mechi zao za kwanza. Salah na wenzake waliambulia sare huku Andre Ayew na wenzake walipoteza. Mechi hii imepewa ODDS 1.96 kwa Misri kushinda na 4.21 kwa Mghana kushinda. Wewe beti yako unaiweka wapi kati ya timu hizi mbili?.

Mechi nyingine ni hapa ya Equatoria Guinea dhidi ya Guinea Bissau ambaye alipoteza mchezo uliopita. Na leo hii amepewa ODDS 3.23 kwa 2.50 kushinda mechi hii mbele ya Equatoria ambaye alishinda mchezo uliopita. Je leo hii nani ataondoka na ushindi?. Beti mechi hii sasa.

Nao wenyeji wa michuano hii Ivory Coast watakipiga dhidi ya Nigeria  ambao walipata sare mchezo wao uliopita. Ivory alipata ushindi mchezo uliopita na leo Meridianbet wamempa 2.12 kushinda mechi hii kwa 3.57. Je Victor Osimhen anaweza kuibeba timu yake kupata alama 3?. Suka jamvi lako sasa.

Pia meridianbet inakukumbusha kuwa kuna uwezekano wa kupiga pesa haraka sana ukicheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, Rocketman, na Sloti na mingine mingi. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Lakini tukiachana na AFCON mteja wa Meridianbet kumbuka kubashiri pia mechi za COPA DEL REY nchini Hispania ambazo zinaendelea hii leo kwa mechi mbili pekee katika hatua ya 16.

Mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Unionistas de Salamanca FC dhidi ya FC Barcelona ambayo ndio wanapewa nafasi ya kushinda na meridianbet wakiwa na ODDS ya 1.13 kwa 16.66. Timu hiyo inashiriki ligi daraja la pili. Je inaweza kuwafunga Xavi na vijana wake leo. Jisajili na ubeti.

Wakati mechi ya kuvuja jasho itakuwa ni kati ya Atletico Madrid dhidi ya Real Madrid majira ya saa 5:00 usiku ambapo timu hizi zimekutana siku chache zilizopita kwenye michuano ya Super Cup ambapo Atletico alipoteza baada ya muda wa ziada. Ancelotti na vijana wake kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.32 huku Diego Simeone na vijana wake wamepewa 2.84. Je nani ataondoka na ushindi leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Uingereza, Hispania, Italia na Ufaransa kinawaka leo

Spread the loveLIGI mbalimbali barani ulaya kuendelea leo na michezokadhaa mikali itakwenda...

Michezo

Leo mkwanja upo Meridianbet, usipishane nao

Spread the love  Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Michezo

Anza wikendi yako na Meridianbet, upige mkwanja wa maana

Spread the love Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Habari MchanganyikoMichezo

Arafat atoka bima na kurejea kwenye benki

Spread the loveRais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemteua Arafat Ally Haji kuwa...

error: Content is protected !!