Friday , 17 May 2024
Home Kitengo Michezo Bashiri na Meridianbet mechi za Jumamosi hii uvune mkwanja
Michezo

Bashiri na Meridianbet mechi za Jumamosi hii uvune mkwanja

Spread the love


NDUGU mteja mechi mbalimbali Barani Ulaya zinaendelea hii leo, na wewe kama mteja wetu tunakuthamini sana kwa kuwa tayari tumeshakuwekea kile ambacho wewe unakihitaji ndani ya meridianbet. Ingia sasa na usuke mkeka wako leo uibuke kuwa Milionea.

Tuanzie pale SERIA A, ambapo bingwa mtetezi Napoli ambaye alipoteza mechi iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani katika dimba la Diego Armando Maradona kukiwasha dhidi ya US Salernitana  ambao ndio vibonde wa ligi. Wote wametoka kupoteza mechi zao zilizopita. Nani leo kuondoka na pointi 3? Beti sasa.

Huku kwa upande wa Hellas Verona yeye ataumana na Empoli FC huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1. Walipokutana mara ya mwisho Verona alishinda. Je mgeni kulipa kisasi leo? Suka mkeka wako na meridianbet.

Mechi ya kumaliza Jumamosi itakuwa ni ile ya kinara wa ligiInter Milano dhidi ya AC Monza ambaye amepewa ODDS 6.66 kwa 1.46. Milana nataka ushindi huu leo azidi kujiimarisha kileleni. Je Mwenyeji atamzuia?. Tandika jamvi lako sasa.

Ukiachana na michezo ya Ligi meridianbet pia inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Ligi ya Ufaransa LIGUE 1, itarindima kama kawaida AS Monaco atakiwasha dhidi ya Stade Reims huku mechi hii ikipewa ODDS nono sana. Ingia na ujionee nani anakupatia mkwanja leo. Mechi ya mwisho kukutana, Monaco alishinda.Beti sasa.

Huku saa 5:00 usiku kutakuwa na mechi ya Stade Rennes dhidi ya OGC Nice ambaye kapewa ODDS 3.09 kwa 2.36. Tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 16. Mwenyeji yupo nafasi ya 10 na mgeni wa 2. Suka mkeka wako kijanja hapa.

Basi leo macho yangu yameanza kutazama ligi pendwa kabisa EPL, ambapo leo itapigwa michezo miwili pekee na mchezo wa mapema sana ni ule saa 9:30 wa vijana wa Darajani Chelseadhidi ya Fulham. Mara ya mwisho kukutana The Blues walishinda. Je leo hii mgeni kulipa kisasi. Mechi hii imepewa ODDS 1.60 kwa 5.29. Bashiri sasa.

Mechi nyingine ya Ligi kuu ya Uingereza ni kati ya wenyeji Newcastle United dhidi ya Manchester City majira ya saa 2:30 usiku. Mechi ya mkondo wa kwanza Pep Guardiola na vijana wake waliondoka na ushindi mwembamba. Eddie Howe kushinda mechi hii amepewa ODDS 5.09 kwa 1.59. Wewe beti yako unaiweka wapi?

LALIGA, nayo wikendi hii sio kitoto mechi kibao zitapigwa katika viwanja mbalimbali ambapo UD Las Palmas atakuwa mwenyeji wa Villarreal huku wote wakiwa wamepoteza mechi zao zilizopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 6. Bashiri na meridianbet sasa.

Huku saa 2:30 Athletic Bilbao watakiwasha dhidi ya Real Sociedad San Sebastian, huku ushindi wa mwenyeji utampleka hadi nafasi ya 3. Bilbao amepewa ODDS 2.02 kwa 3.87. Suka jamvi lako sasa.

Usiku kabisa wa leo hapa nazungumzia saa 5:00, Real Betisambaye yupo nafasi ya 7 atakuwa mwenyeji wa Granadaambaye yupo nafasi ya 19. Mgeni kwenye mechi ambazo kacheza kashinda mbili pekee. Je leo ataambulia nini? Mechi hii imepewa ODDS 1.67 kwa 4.80. Jisajili Sasa.

Kule Ujerumani sasa, BUNDESLIGA nayo itaendelea hii leo kwa michezo mingi ya kukupatia, RB Leipzig atakipiga dhidi ya Eintracht Frankfurt ambaye yupo nafasi ya 6. Mara ya mwisho walipoonana RB alishinda. Nani kuibuka na ushindi leo? Beti sasa.

Union Berlin atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya SC Freiburg huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 11. Mwenyeji amepewa ODDS 2.07 kushinda mechi hii huku mgeni akipewa 3.43. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Naye kinara wa bundesliga Bayer Leverkusen atakuwa mgeni wa FC Augsburg  ambaye amepewa ODDS 6.66 kushinda leo hii. Vijana wa Alonso ,mechi ya kwanza walipasuka. Leo watalipa kisasi?

Mechi ya mwisho leo hii Ujerumani ni hii inayowakutanisha Borussia Dortmund dhidi ya SV Darmstadt ambaye ndiye kibonde wa ligi. Borussia kushinda na ODDS 1.52 kwa 5.29. Suka jamvi  hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Uingereza, Hispania, Italia na Ufaransa kinawaka leo

Spread the loveLIGI mbalimbali barani ulaya kuendelea leo na michezokadhaa mikali itakwenda...

Michezo

Leo mkwanja upo Meridianbet, usipishane nao

Spread the love  Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Michezo

Anza wikendi yako na Meridianbet, upige mkwanja wa maana

Spread the love Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Habari MchanganyikoMichezo

Arafat atoka bima na kurejea kwenye benki

Spread the loveRais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemteua Arafat Ally Haji kuwa...

error: Content is protected !!