Friday , 17 May 2024
Home Kitengo Michezo Earlind Haaland straika wa zamani anayetamba sasa
Michezo

Earlind Haaland straika wa zamani anayetamba sasa

Spread the love

MSHAMBULIAJI  wa klabu ya Manchester City EarlingBraundt Haaland ambaye amekua mshambuliaji tishio zaididuniani kwasasa kutokana na uhodari wake wa kupachikamabao.

Earling Haaland anazungumzwa kama mshambuliaji bora kwasasa ambayo dunia inayo huku ikiliezwa ni aina yamshambuliaji wa kizamani, Lakini akipata fursa ya kutambakatika dunia ya kisasa.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako. utakua nimchezo wa pili kukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada yakukutana

Haaland anazungumzwa kama mshambuliaji wa kizamaniambaye anatamba katika zama hizi hii ni kutokana na aina yakeya uchezaji ikifanana na washambuliaji wengi waliocheza miaka1990’s na miaka ya 2000’s ndio walikua wana aina ya uchezajiwa Haaland.

Mshambuliaji Earling Haaland ni aina ya mshambuliaji ambayesio mwenye uwezo mkubwa akiwa nje ya boksi ya la mpinzaniwake, Lakini ni hatari sana anapokua ndani ya boksi na hapondipo anapofananishwa na washambuliaji wa zamani kama kina Ruud Van Nestelrooy, Fellipo Inzaghi, Didier Drogba, naFernando Morients.

Washambuliaji wa kisasa ni aina ya washambuliaji ambao wanauwezo wa kufanya vitu vingi mbali na kufunga kama kushirikimchezo kwa kiwango kikubwa na kuweza kutengeneza nafasikwa wachezaji wenzao kufunga hata wasipofunga wao, Sifaambazo kwa kiwango kikubwa Haaland hana.

Washambuliaji wakisasa wenye uwezo huo ni kama KarimBenzema, Luis Suarez, Roberto Lewndowski, pamoja naLautaro Martinez anayefanya vizuri kwasasa ni moja yawashambuliaji ambao wana uwezo wa kufanya vitu vingi zaidiya kufunga mabao tu.

Mbali na Haaland kutokua na uwezo wa kufanya kucheza kamamshambuliaji wa kisasa au wa zama hizi, Lakini jambo kubwa alilofanikiwa ni kuweza kufunga mabao kwa kiwango kikubwajambo linalomfanya kua watofauti kwani anatamba ni aina yamshambuliaji wa zamani ambaye anatamba katika zama hizi.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiana uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Uingereza, Hispania, Italia na Ufaransa kinawaka leo

Spread the loveLIGI mbalimbali barani ulaya kuendelea leo na michezokadhaa mikali itakwenda...

Michezo

Leo mkwanja upo Meridianbet, usipishane nao

Spread the love  Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Michezo

Anza wikendi yako na Meridianbet, upige mkwanja wa maana

Spread the love Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Habari MchanganyikoMichezo

Arafat atoka bima na kurejea kwenye benki

Spread the loveRais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemteua Arafat Ally Haji kuwa...

error: Content is protected !!