Friday , 17 May 2024
Home Kitengo Michezo Ligi Kuu England imerejea na maokoto yake ndani ya Meridianbet
Michezo

Ligi Kuu England imerejea na maokoto yake ndani ya Meridianbet

Spread the love

 

LIGI kuu ya Uingereza maarufu kama EPL leo itaendelea katikwa viwanja mbalimbali ambapo michezo kadhaa itapigwa ikiwa itatoa nafasi ya kuweza kushinda mkwanja katika michezo hiyo itakayopigwa leo Jumamosi.

Msimu huu wa wa sikukuu kampuni ya Meridianbet wanahakikisha wateja wake wanafurahi, Hivo michezo mbalimbali ambayo inapigwa kipindi hichi inapewa ODDS KUBWA na za kibabe ili kurahisisha mchongo wa kujipigia maokoto.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Manchester United baada ya kupindua meza kibabe katika mchezo uliopita dhidi ya klabu ya Aston Villa, Leo watashuka dimbani tena kwenda kukipiga dhidi ya klabu ya Nottingham Forest ambao nao wapo kwenye fomu ya hali ya juu kwasasa.

Klabu ya Chelsea ambayo imetoka kushinda mchezo wake uliopita leo watakua ugenini kukipiga na klabu ya Luton Town ambao wameonekana kufufuka na kufanya vizuri hivi karibuni, Hivo mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenye mvuto mkubwa.

Manchester City leo watakua nyumbani kukipiga dhidi ya klabu ya Sheffield United baada ya kufanikiwa kupata ushindi katika mchezo uliopita dhidi ya Everton ikiwa ni baada ya kupitia kipindi kigumu kidogo katika ligi kuu ya Uingereza leo watakua pale Etihad kuzisaka alama zingine tatu dhidi ya Sheffield.

Aston Villa wakiwa wmaetoka kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Manchester United katika dimba la Old Trafford, Leo watakua nyumbani katika dimba lao la Villa Park kuikaribisha klabu ya Burnley na kuangalia uwezekano wa kurudi kwenye njia ya ushindi.

Klabu ya Wolves wakiwa wametoka kutoa adhabu kali kwa klabu ya Brentford katika mchezo wao uliopita, Leo watakua nyumbani katika dimba la Molineux kukipiga na Everton ambayo imetoka kujeruhiwa mchezo uliopita.

Michezo yote ambayo inakwenda kupigwa leo katika ligi kuu ya Uingereza leo Meridianbet wamehakikisha inawekewa ODDS KUBWA ili wateja wake waweze kujipigia mkwanja katika msimu huu wa sikukuu.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Uingereza, Hispania, Italia na Ufaransa kinawaka leo

Spread the loveLIGI mbalimbali barani ulaya kuendelea leo na michezokadhaa mikali itakwenda...

Michezo

Leo mkwanja upo Meridianbet, usipishane nao

Spread the love  Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Michezo

Anza wikendi yako na Meridianbet, upige mkwanja wa maana

Spread the love Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Habari MchanganyikoMichezo

Arafat atoka bima na kurejea kwenye benki

Spread the loveRais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemteua Arafat Ally Haji kuwa...

error: Content is protected !!