Friday , 3 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa #LIVE: Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania
Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania

Ukumbi wa Bunge
Spread the love

 

LEO Jumanne, tarehe 1 Februari 2022, Bunge la Tanzania linafanya uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Uchaguzi huo unafanyika baada ya aliyekuwa Spika, Job Ndugai kujiuzulu nafasi hiyo tarehe 6 Januari 2022.

Wagombea tisa kutoka vyama mbalimbali wamejitokeza kuwania nafasi hiyo ya muhimili wa Bunge.

Mwenyekiti aliyechaguliwa kuongoza shughuli hiyo ni William Lukuvi, Mbunge wa Isman (CCM).

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya afutiwa kesi, ruksa kugombea uongozi

Spread the loveMwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali DPP leo Ijumaa amefuta rufaa...

Habari za Siasa

Serikali yasaka bilioni 3 kujenga daraja Mto Mpiji

Spread the loveSerikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kwafukuta kisa chaguzi, Lissu aibua tuhuma nzito

Spread the loveCHAGUZI za kusaka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kimbunga “HIDAYA” chaendelea kuimarika, wananchi wapewa tahadhari

Spread the loveMAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa...

error: Content is protected !!