Friday , 28 June 2024

Month: June 2024

Habari MchanganyikoMichezo

Tamasha la utamaduni na utalii Kanda ya Ziwa lazinduliwa Dar

  TAMASHA kubwa la kimataifa la utamaduni na utalii linalojulikana kama Lake Zone Cultural and Tourism Festival limezinduliwa rasmi Jijini Dar es Salaam...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Wabunge wanawake, Oryx wampa tuzo Rais Samia kuhamasisha nishati safi

WABUNGE wanawake kwa kushirikiana na Kampuni ya Oryx Gas Tanzania wametoa tuzo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ya kutambua mchango wake katika kuhamasisha...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi Moshi wamng’ang’ania Malisa, wafufua madai ya Waziri Mkenda

WAKILI wa Mwanaharakati Godlisten Malisa, Hekima Mwasipu amesema mteja wake anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za kusambaza taarifa...

Habari za SiasaKimataifa

Sababu Diane kung’olewa uchaguzi Rwanda zatajwa

Mkuu wa Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Rwanda, Oda Gasinzigwa amesema jina la Diane Rwigara (42) ambaye ni kiongozi wa vuguvugu la...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Wafuasi ANC waandamana kupinga muungano na DA

Wafuasi wa chama cha African National Congress (ANC) nchini Afrika Kusini, wameandamana jijini Johannesburg, kushinikiza viongozi wao wakatae kuingia katika muungano na chama...

ElimuHabari za Siasa

Ukomo michango wanafunzi kidato cha tano 80,000

SERIKALI imesema ukomo wa michango kwa wanafunzi wanaojiunga kidato cha tano katika shule za sekondari za serikali ni Sh 80,000 kwa shule za...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Biteko aiagiza Tanesco kujenga laini mpya ya umeme Ushirombo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kujenga laini mpya ya umeme kutoka Nyakanazi-Ushirombo...

Habari Mchanganyiko

Wafungisha ndoa watakiwa kujisajili kwenye e-RITA

KABIDHI Wasii Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Frank Kanyusi amewataka wafungishaji ndoa wote nchini kujisajili...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

RC Chalamila aonya wanafunzi elimu ya juu kuacha kulalamika

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wanafunzi vyuo vikuu kuachana na utamaduni wa kulalamika, badala yake wawe mabalozi wazuri...

Biashara

Cheza kasino na ushinde mamilioni ya mchezo wa 20 Imperial Crown

20 Imperial Crown Deluxe ni mchezo wa kasino mtandaoniunaohusu matunda, mchezo huu una safu tano zilizopangwakatika mistari mitatu yenye mistari 20 ya malipo....

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

CCM yaivaa Chadema

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekituhymu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kutumia mikutano ya hadhara kutoa hotuba za kuchochea vurugu na umwagaji...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua Ikulu, wizara, mikoa na wilaya

RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali, huku sababu ikitajwa ni kuboresha utendaji kazi . Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

AU watambua jitihada za Rais Samia na Ulega kuwainua wavuvi

UMOJA wa Afrika (AU) na Shirika la Kilimo na Chakula (FAO) wamemtambua Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah...

Habari Mchanganyiko

Muarobaini migongano ya binadamu wanyamapori watajwa

IMEELEZWA kuwa iwapo serikali itawekeza kwenye mpango wa matumizi bora ya ardhi, migongano baina ya binadamu na wanyamapori chini itapungua kama sio kuisha...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Malisa mbaroni adaiwa kupelekwa Kilimanjaro kwa tuhuma nyingine

Mwanaharakati Godlisten Malisa,  ametiwa mbaroni  na askari wa jeshi la Polisi muda mchache baada ya kutoka kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi...

Habari za Siasa

Doyo autaka Uenyekiti wa ADC

  ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama Cha Alliance for Democratic Change (ADC) Taifa, Doyo Doyo ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Taifa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Wabunge Marekani waguswa uhifadhi Ngorongoro

Wabunge wa Bunge la Wawakilishi la Congress kutoka nchini Marekani wamepongeza juhudi za uhifadhi zinazofanywa na Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro hususan utunzaji...

Habari Mchanganyiko

Mfanyabiashara mbaroni tuhuma za kumchoma moto “house girl” kisa wizi

MFANYABIASHARA maarufu jijini Mwanza, Christina Shiriri (Manka), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumchoma moto mfanyakazi wake wa ndani (House Girl),...

Michezo

Tandika jamvi lako na Meridianbet leo

  Leo hii kuna mechi kibao za kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Afrika zinaendelea ambapo mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania, Meridianbet wamekuwekea...

Habari za SiasaTangulizi

Makamba: Tulifunga milango matokeo tuliyaona

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema hakuna mjadala kuhusu muelekeo wa Serikali ya Rais Samia Suluhu...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Sugu aanza kazi Nyasa licha ya pingamizi la Msigwa

MWENYEKITI mpya wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu), ameanza kazi rasmi licha ya ushindi wake kuwekewa...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Usiyoyajua ziara ya Rais Samia Korea Kusini

MWEI 31 mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa na ujumbe mzito, alisafiri umbali wa kilomita 10,200 kutoka jijini Dar es Salaam hadi...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

‘Local content’ inavyotajirisha Watanzania, wavuna mabilioni

Ushirikishwaji wa Watanzania katika shughuli za madini (Local Content) na Uwajibikaji wa Kampuni kwa Jamii (CSR) ni moja ya mambo ambayo yamekuwa yakipigiwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Taifa Gas yapewa tuzo kwa utunzaji mazingira

Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amekabidhi tuzo maalum kwa kampuni ya nishati ya gesi ya kupikia ya Taifa Gas Limited ikiwa ni...

Habari MchanganyikoTangulizi

14 wafa lori la kokoto likiparamia coster, hiace

  WATU 14 wamefariki 14 wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea jijini Mbeya baada lori moja lililokuwa limebeba kokoto kuparamia basi dogo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Biteko: 93% ya uvuvi ni wavuvi wadogo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema asilimia 93 ya uvuvi wote hapa nchini unategemea wavuvi wadogo na hivyo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

INEC yawanoa wasimamizi wa vituo vya uchaguzi jimbo la Kwahani

Wasimamizi wakuu na wasaidizi wa vituo vya Kupiga kura katika jimbo la Kwahani mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar wametakiwa kufanya kazi kwa kujiamini,...

Biashara

Cheza kasino michezo ya Expanse na ushinde mgao wa Tsh 4,750,000/=

Unaambiwa huko Meridianbet Bosi hataki mchezo, ilePromosheni ya shindano la Expanse si unaijua? Basi Pesazimeongezeka kwa washindi na sasa dau limefikia TshMilioni Nne,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Korea yatoa bilioni 422 ujenzi hospitali Binguni

Serikali ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Korea zimesaini Mkataba wa Mkopo nafuu wa Sh  422.16 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

TLS yawafunda waandishi wa habari, yawataka kusaidia umma kutumia uhuru wa kujieleza

Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS), kimewataka wandishi wa habari nchini kuzitumia sheria zilizopo kuhakikisha wanausaidia umma katika ukuzaji wa uhuru wa kujieleza....

Habari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

GGML inavyotumia teknolojia kuigeuza Geita kuwa ya kijani

SHUGHULI za uchimbaji madini hutakiwa kwenda sambamba na urejeshaji mazingira ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza kuharibiwa na shughuli hizo ndio maana...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Wakuu wa nchi EAC kumchagua katibu mkuu mpya

Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajiwa kukutana kupitia njia ya mtandao tarehe 7 Juni mwaka huu katika Mkutano...

BiasharaHabari MchanganyikoTangulizi

Bei mafuta ya petroli, dizeli zashuka

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo ya mafuta ya petroli kupitia Bandari ya Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Vifo vya wanaokufa maji vyafikia zaidi ya laki 2, EMEDO watoa neno

  SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la usimamizi wa Mazingira na Maendeleo ya Uchumi (EMEDO) limesema kuwa takwimu za shirika la afya Duniani (WHO)...

Michezo

Jumanne ya leo kuna mechi kibao za hela

  Mechi mbalimbali kutoka ligi mbalimbali zinaendelea ambapo wewe mteja wa Meridianbet una nafasi ya kupiga pesa kwa kuchagua mechi zako za ushindi....

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Samia ampeleka Prof. Makubi hospitali BMH

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Tanzania kinara Afrika usambazaji umeme kwa wananchi

Benki ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa kusambazaji umeme kwa wananchi wake. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akitoa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Samia asisitiza uwekezaji katika nishati safi ya kupikia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameieleza dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi...

Michezo

Jumanne ya leo kuna mechi kibao za hela

Mechi mbalimbali kutoka ligi mbalimbali zinaendelea ambapo wewe mteja wa Meridianbet una nafasi ya kupiga pesa kwa kuchagua mechi zako za ushindi. Suka...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Serikali yakana kuweka rehani bahari, madini

SERIKALI ya Tanzania, imesema haijaweka rehani rasilimali za nchi ili kupata mkopo wa zaidi ya Sh. 6.7 trilioni, kutoka katika Serikali ya Korea...

Habari MchanganyikoTangulizi

NGO ya Kapuya yachunguzwa kwa ushoga

SERIKALI imeanza kuichunguza Taasisi ya Athuman Kapuya, dhidi ya tuhuma za usambazaji ushoga inazoikabili shirika hilo lisilo la kiserikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari Mchanganyiko

Baba amuua kinyama mtoto wake, anyofoa sehemu za siri

ERICK Magulu (33), mkazi wa wilaya ya Kilombero, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, kwa tuhuma za kumuua kinyama mtoto wake wa...

Habari za Siasa

Lissu awapa kibarua wakulima na wafugaji uchaguzi Mkuu 2025

WAKULIMA na wafugaji wametakiwa kutokichagua tena Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2025, kwa madai...

Habari za Siasa

Butiku: Kumchangia fedha Samia kwa ajili ya uchaguzi ni rushwa

MWENYEKITI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation), Mzee  Joseph Butiku, amekemea tabia ya baadhi ya watu kumchangia fedha Rais Samia Suluhu...

Biashara

Shindano la Expanse Meridianbet kasino linaendelea

Kama ulijua huna bahati na umechoka kujaribu kwenyemaisha yako, usikate tamaa, jaribu sana kucheza shindanola Expanse ndani ya Meridianbet Kasino ya Mtandaoni, Mamilioni...

Habari Mchanganyiko

Madhehebu ya dini yashirikiane na Serikali kuondoa matendo maovu

WITO umetolewa kwa madhehebu ya dini kushirikiana na Serikali katika kuweka mpango mkakati wa kiroho na kuiokoa jamii ikiwemo watoto kuondokana na tabia...

Habari Mchanganyiko

Kijiji chapata maji safi na salama kwa mara ya kwanza tangu Uhuru

Adha ya upatikanaji wa maji safi na salama, iliyokuwa ikiwakabili wananchi wa Kijiji cha Mherule, kata ya Mwanya Tarafa ya Mang’ula wilayani Kilombero...

Habari Mchanganyiko

Hifadhi ya Saadani yatumia teknolojia kudhibiti tembo

  HIFADHI ya Taifa ya Saadani imeanza mpango wa kudhibiti wanyamapori, wakiwemo tembo wasivamie maeneo ambayo ni makazi ya watu kwa kwa kuwavalisha...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Balozi wa Tanzania nchini Korea akanusha upotoshaji Tanzania kutoa sehemu ya bahari na madini

Balozi wa Tanzania nchini Korea, Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo kutoka Jamhuri ya Korea...

Habari Mchanganyiko

Dk. Biteko aipongeza TMA kwa kutoa huduma ya utabiri kwa ubora

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Mamalaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kuendelea kutoa huduma bora...

error: Content is protected !!