Mwigulu Nchemba

Mengi yaibuka kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba

KUONDOLEA kwa Mwigulu Nchemba katika nafasi ya Waziri wa Mambo na Ndani ya Nchi kumezua mijadala mikali kwa wadau wa siasa, huku kila mmoja akitoa sababu za kuondolewa kwake katika nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Mwigulu aliondolewa  katika nafasi ya uwaziri baada ya Rais John Magufuli kufanya marekebisho madogo katika baraza la mawaziri na nafasi yake kuchukuliwa na Kange Lugola.

Baada ya Mwigulu kuondolewa wadau wa siasa wamegawanyika katika pande mbili, huku kila upande ukielezea sababu za kuondolewa kwake.

Upo upande unaoamini kuwa Mwigulu ameondolewa kwa kwenda tofauti na mfumo wa Serikali ya Awamu ya Tano, lakini wengine wakiamini kuwa ametumbuliwa kutokana na kushindwa kusimamia majukumu yake katika nafasi aliyokuwa nayo kama Waziri wa Mambo ya Ndani.

Baadhi ya maoni ya wadau hao katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kuondolewa kwa Mwigulu.

KUONDOLEA kwa Mwigulu Nchemba katika nafasi ya Waziri wa Mambo na Ndani ya Nchi kumezua mijadala mikali kwa wadau wa siasa, huku kila mmoja akitoa sababu za kuondolewa kwake katika nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu ... (endelea). Mwigulu aliondolewa  katika nafasi ya uwaziri baada ya Rais John Magufuli kufanya marekebisho madogo katika baraza la mawaziri na nafasi yake kuchukuliwa na Kange Lugola. Baada ya Mwigulu kuondolewa wadau wa siasa wamegawanyika katika pande mbili, huku kila upande ukielezea sababu za kuondolewa kwake. Upo upande unaoamini kuwa Mwigulu ameondolewa kwa kwenda tofauti na mfumo wa Serikali ya Awamu ya Tano, lakini wengine wakiamini…

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube