Lissu atinga Mlimani City

Spread the love

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ametembelea Mlimani City jijini Dar es Salaam na kufanya manunuzi mbalimbali katika moja ya maduka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Lissu anaendelea kutumikia adhabu ya kufungiwa siku saba kutokufanya kampeni kwa siku saba na Kamati ya Kitaifa ya Maadili ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuanzia tarehe 3 Oktoba 2020, itahitimishwa kesho Ijumaa.

Jana Jumatano, Lissu alitembelea maeneo mbalimbali ya Kariakoo jijini humo na kufanya manunuzi mbalimbali ikiwemo mchele na matunda.

Leo Alhamisi mchana tarehe 8 Oktoba 2020, Lissu ameonekana katika madaku ya Mlimani City akinunua bidhaa mbalimbali na baadaye anatarajiwa kwenda soko la Manzese ambako nako atanunua bidhaa akiwa huko.

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ametembelea Mlimani City jijini Dar es Salaam na kufanya manunuzi mbalimbali katika moja ya maduka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Lissu anaendelea kutumikia adhabu ya kufungiwa siku saba kutokufanya kampeni kwa siku saba na Kamati ya Kitaifa ya Maadili ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuanzia tarehe 3 Oktoba 2020, itahitimishwa kesho Ijumaa. Jana Jumatano, Lissu alitembelea maeneo mbalimbali ya Kariakoo jijini humo na kufanya manunuzi mbalimbali ikiwemo mchele na matunda. Leo Alhamisi mchana tarehe 8 Oktoba 2020, Lissu ameonekana katika madaku ya Mlimani City akinunua bidhaa mbalimbali…

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!