Friday , 26 April 2024

Day: August 8, 2020

Habari za Siasa

Lissu kuboresha sekta ya afya, nyongeza ya mishahara

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema, iwapo atapewa ridhaa ya kuwa rais jambo la kwanza...

Habari za Siasa

Ashikiliwa Takukuru kutorejesha milioni 44 kwa miaka kumi za Saccos

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Manyara, inamshikilia mkazi wa Mjini Babati, Yuda Sendeu akidaiwa kuzuia Sh. 44.7 milioni...

Habari za SiasaTangulizi

Wagombea 10 waliochukua fomu urais Tanzania 

WAGOMBEA kumi wa urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 wamechukua fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi  (NEC)....

Habari za Siasa

Prof. Lipumba achagiwa milioni 1 ya fomu za urais

WANAWAKE wa Chama Cha Wananchi (CUF), wamemkabidhi Prof. Ibrahim Lipumba, Mgombea wa chama hicho wa Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...

Habari za Siasa

421 kuchuana kuwania nafasi 10 ubunge viti maalum UVCCM

BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), leo Jumamosi tarehe 8 Agosti 2020 unafanya kura za maoni kwa wagombea...

Habari Mchanganyiko

Mfumo wenye neema kwa wakulima wazinduliwa Tanzania

WAZIRI wa Kilimo wa Tanzania, Japhet Hasunga amezindua rasmi huduma maalum ya kuhakiki pembejeo inayofahamika kwa jina la ‘T-hakiki.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Simiyu...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu achukua fomu urais Tanzania, asindikizwa kwa msafara NEC

TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema amekabidhiwa fomu za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020 na...

error: Content is protected !!