Daily Archives: November 10, 2017

Bodi Feki ya Lipumba yaitwa mahakamani, CUF Maalim kicheko

Wabunge nane wa CUF waliovuliwa uanachama wakijadili jambo nje ya Mahakama Kuu. Picha ndogo kulia Prof. Ibrahim Lipumba, kushoto ni Maalim Seif Shariff Hamad

MAHAKAMA Kuu ya Dar es Salaam imetengua kufukwa uanchama wabunge nane na madiwani wawili, huku wameitaka Bodi ya Udhamini iliyokuwa chini ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof, Ibrahim Lipumba kufika ...

Read More »

Diamond Platnumz ambwaga Mobeto mahakamani

Picha kubwa Hamisa Mobeto. Ndogo kulia mtoto wake Prince Abdul aliyezaa na Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz (kushoto)

MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemgalagaza mzazi mwenzake, Mwanamitindo Hamisa Mabeto katika kesi ya madai aliyoifungua katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kudai matunzo ya mtoto Prince Abdul, anaandika Angel ...

Read More »

Wananchi wahimizwa kuwekeza kwenye hisa

Mkurugenzi wa Bodi ya TCCIA, Donald Kamori

WANANACHI wametakiwa kuhudhuria semina zinahusua uwekezaji wa hisa ili wapate elimu itakayowasaidia kupata ufahamu kwa undani kuhusu biashara hiyo endelevu, anaandika Angel Willium. Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Bodi ...

Read More »

Wafugaji kumsaidia Dk. Kigwangalla mgogoro wa Loliondo

Pori Tengefu la Loliondo. Picha ndogo kulia, Dk. Hamisi Kigangwalla, kushoto wakazi wa Loliondo

JAMII ya Wafugaji wa Loliondo, Ngorongoro, mkoani Arusha, wamesema kuanzia sasa watakuwa wa kwanza kutoa taarifa kwa yeyote atakayebainika kuingiza mifugo kwenye eneo la hifadhi kama moja ya juhudi ya ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube