Friday , 26 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Utaratibu kuomba ajira za walimu watolewa
Habari Mchanganyiko

Utaratibu kuomba ajira za walimu watolewa

Seleman Jafo
Spread the love

OFISI ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imetoa tangazo la nafasi za walimu wa shule za msingi na sekondari zaidi ya 13,000 nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Tangazo la Katibu Mkuu wa Tamisemi limesema, waombaji wanapaswa kutuma maombi kunzia jana tarehe 7 Septemba hadi 21 Septemba 2020.

Katika tangazo hilo, limeelezea sifa za waombaji na aina ya walimu wanaohitajika.

Soma tangazo na maelezo yote hapa chini;

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Wakili: Ukimpa zawadi mwenza marufuku kumpora hata mkiachana

Spread the love  WANANDOA na watu waliko kwenye mahusiano ya kimapenzi, wamekumbushwa...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Mvua zimesababisha vifo vya watu 155, kuendelea hadi Mei

Spread the love  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mvua kubwa za El-Nino...

Habari Mchanganyiko

Exim Bank yatoa  vitanda kwa shule ya Jeshi la Polisi Moshi

Spread the love  BENKI ya Exim imekabidhii  seti ya vitanda kwa Shule...

Habari Mchanganyiko

NBC yakabidhi vitanda Shule ya Polisi Moshi

Spread the loveBenki ya NBC imekabidhi msaada wa vitanda 28 kwa Shule...

error: Content is protected !!