Monday , 27 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa 15 warejeshwa kugombea ubunge, 15 watupwa
Habari za SiasaTangulizi

15 warejeshwa kugombea ubunge, 15 watupwa

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera
Spread the love

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imekubali rufaa 15 kati ya 55 za wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Taarifa ya Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera aliyoitoa leo Jumanne tarehe 8 Septemba 2020 amesema, NEC imekataa rufaa 15 za wagombea ambao hawakuteuliwa.

Amesema, tume hiyo baada ya kuchambua rufaa hizo kwa kupitoa vielelezo mbalimbali imekataa rufaa 25 za kupinga kuteuliwa.

Dk. Mahera amesema, wahusika wa rufaa hizo, wameanza kupokea uamuzi kwa njia za barua.

Amesema, wanaendelea kuzipitia rufaa zote na watakuwa wakitoa taarifa kadri wanavyomaliza.

2 Comments

  • Uamuzi mzuri na ni kitu nilikitegemea kwa vyama hivi viwili Chadema na Act baada ya kifungu cha sheria kilichowabana kuungana siku 90 kabla ya uchaguzi kuanza

  • Kujaza fomu imekuwa sawa na mtihani wa shule? Ukikosea ndio basi? Hakuna kusahihisha makosa? DU

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Madeni ya bilioni 219 yalipwa, wadai wengine waitwa

Spread the loveSERIKALI imesema kuanzia Mei mwaka 2021 hadi sasa imelipa madai...

BiasharaHabari za SiasaTangulizi

Mkataba wa Tanesco, Songas watakiwa bungeni

Spread the loveWAKATI mkataba wa Ununuzi wa Umeme kati ya Shirika la...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kasekenya aipa Tanroads wiki kukarabati barabara Morogoro

Spread the loveNaibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ametoa wiki moja...

Habari za SiasaTangulizi

‘Aliyemtonya’ Lissu kuhusu rushwa arejea madarakani

Spread the loveMwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Iringa, William Mungai...

error: Content is protected !!