May 26, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Haya hapa matokeo kidato cha sita, ualimu 2021

Wanafunzi wa kidato cha sita walipokuwa wanafanya mtihani

Spread the love

 

BARAZA la Mitihani Tanzania (NACTE), limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na ualimu, iliyofanyika Mei 2021. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea).

Matokeo hayo yametangazwa leo Jumamosi, tarehe 10 Julai 2021 na Katibu Mkuu NACTE, Dk. Charles Msonde, visiwani Zanzibar.

Kuyaona matokeo hayo gusa kiunganishi (link) hapo chini.

MATOKEO YOTE HATA HAPA

error: Content is protected !!