November 29, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Bosi Simba afiwa na mama mzazi

Barbara Gonzalez,Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba

Spread the love

 

RHODA Yahya Lambert, mama mzazi wa Ofisa Mtendaji Mkuu wa timu ya Simba amefariki dunia nyumbani kwake Kigamboni Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea).

Taarifa iliyotolewa na Simba imesema, Rhoda amefikwa n amauti asubuhi ya leo Jumapili, tarehe 14 Novemba 2021 akiwa nyumbani kwake.

Mazishi yatafanyika leo, saa 10:30 jioni katika makaburi ya Kisutu jijini humo.

error: Content is protected !!