Tuesday , 14 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Dk. Kikwete: Lowassa ameacha alama
Habari za SiasaTangulizi

Dk. Kikwete: Lowassa ameacha alama

Spread the love

RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amesema Lowassa alikuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi na ameacha alama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea).

Dk. Kikwete ametoa kauli hiyo akizungumza katika shughuli ya kumuaga Hayati Lowassa, leo Jumanne, jijini Dar es Salaam.

“Tumshukru Mungu Kwa muda aliotupatia kuishi na kuhudumiwa na Lowassa. wakati wa uhai wake ametoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi yetu na ameacha alama zitakazokumbukwa daima. Shukrani kubwa tunayoweza kutoa kwake kwa sasa ni kumuombea kwa mola aiweke roho yake mahala pema peponi,” amesema Dk. Kikwete.

Aidha, Dk. Kikwete ametoa pole kwa familia hususan mjane wa Hayati Lowassa, Regina Lowassa kwa kuondokewa na mpendwa wao.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Madeleka aibwaga Jamhuri kesi za kubambikiwa

Spread the loveWakili Peter Madeleka ameshinda rufaa yake namba 263 ya mwaka...

Habari za SiasaTangulizi

Sheikh Ponda ataka kura ya maoni kuamua hatma ya muungano

Spread the loveKATIBU Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa...

Habari za Siasa

Bunge lakemea utoroshwaji mifugo kuelekea Kenya

Spread the loveKamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na...

Habari za Siasa

CUF yajipanga kuelekea chaguzi zijazo

Spread the loveCHAMA cha Wananchi (CUF), kimejipanga kujijenga kisiasa kuelekea chaguzi zijazo...

error: Content is protected !!