Friday , 17 May 2024
Home Kitengo Michezo AFCON ya 34 kuanza kurindima leo nchini Ivory Coast
Michezo

AFCON ya 34 kuanza kurindima leo nchini Ivory Coast

Spread the love

MICHUANO mikubwa ya soka ya mataifa ya Afrikayanayofahamika kama AFCON yataanza rasmi leo katikaardhi ya Ivory Coast ambao ndio haswa wenyeji wamichuano hiyo mikubwa ya soka barani Afrika kwa upandewa mataifa.

AFCON ya mwaka 2024 ni michuano ya 34 tangu michuanohiyo ianzishwe mwaka 1957 ambapo bingwa wa michuano hiyoalikua Misri ambao ndio mabingwa wa muda wote wa michuanowakiwa wametwaa michuano hiyo mara nyingi zaidi.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako. utakua nimchezo wa pili kukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada yakukutana

Michuano ya mwaka huu ambayo itaanza kutimua vumbi leoitahusisha timu 24 kutoka katika bara la Afrika ambazozilifanikiwa kufuzu michuano hii, Huku makundiyakigawanywa kufikia sita kuanzia kundi A mpaka kundi F.

Timu 12 zitapatikana katika kila kundi ili kutengeneza timu 16 ambazo zitacheza hatua ya 16 bora, Hivo katika makundi sitazitapatikana timu mbili kundi kwa maana ya timu 12, Hukuzitafutwa timu nyingine nne kama best loser katika makundiyote sita ili kutimiza timu 16.

Tangu michuano ya Afcon ianzishwe mwaka 1957 imefanikiwakutoa mabingwa 15 yaani nchi tofauti tofauti 15 zimeshafanikiwa kutwaa ubingwa wa AFCON, Huku bingwa wamuda wote akiwa timu ya taifa ya Misri maarufu kama Pharaoswakiwa wametwaa ubingwa huo mara saba.

Rekodi nyingine kuhusiana na michuano hii mikubwa kabisa yasoka barani Afrika kwa upande wa timu za taifa ambapomshambuliaji wa timu ya Cameroon Samuel Eto’o Fills anaendelea kushikilia rekodi ya mfungaji bora wa muda wotewa michuano hiyo akiwa na mabao 18.

Mabingwa wa michuano ya kubashiri kampuni ya Meridianbetnao hawatakua nyuma kwani watahakikisha wewe mteja waounafanikiwa kupiga mkwanja kupitia michuano ya AFCON ambapo wamekuja na kampeni yao inakuambia KAPU LA AFCON NGOMA INOGILEEEEE.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiana uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Uingereza, Hispania, Italia na Ufaransa kinawaka leo

Spread the loveLIGI mbalimbali barani ulaya kuendelea leo na michezokadhaa mikali itakwenda...

Michezo

Leo mkwanja upo Meridianbet, usipishane nao

Spread the love  Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Michezo

Anza wikendi yako na Meridianbet, upige mkwanja wa maana

Spread the love Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Habari MchanganyikoMichezo

Arafat atoka bima na kurejea kwenye benki

Spread the loveRais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemteua Arafat Ally Haji kuwa...

error: Content is protected !!