Friday , 17 May 2024
Home Kitengo Maisha Elimu Haya hapa matokeo ya mtihani kidato pili, darasa la nne
ElimuTangulizi

Haya hapa matokeo ya mtihani kidato pili, darasa la nne

Spread the love


BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), leo tarehe 7 Januari 2024, limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha pili na darasa la nne wa 2023, huku likisema ufaulu umeongezeka. Anaripoti Regina Mkonde …(endelea).

Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Ally Mohamed, amesema ufaulu wa Mitihani wa kidato cha pili umeongezeka kwa asilimia 0.13 ambapo watahiniwa 592,741 (85.31%) wamepata daraja kuanzia la kwanza hadi la nne.

Aidha, Dk. Mohammed amesema watahiniwa 28 wa mtihani wa kidato cha pili wamefutiwa matokeo kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo udanganyifu na kuandika matusi.

Kwa upande wa mtihani wa darasa la nne, Dk. Mohammed amesema ufaulu umeongezeka hadi kufikia asilimia 0.39, ambapo watahiniwa 1,287,934 (83.34%), wamefaulu kuendelea darasa la tano huku wengine 178 wakifutuwa matokeo.

Tazama hapa matokeo kidato cha pili.

Tamaza hapa matokeo ya darasa la nne 

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Hatuoni faida ya demokrasia

Spread the loveMwenyekiti wa Chadema, Fremaan Mbowe amesema Tanzania haijanufaika na miaka...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba ataka wananchi wasiruhusu bakora za Magufuli

Spread the loveMwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Ibrahimu Lipumba...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mbunge Mwakasaka alitaka Jeshi la Polisi kutenda haki

Spread the loveEMMANUEL Adamson Mwakasaka, Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), amelitaka Jeshi...

Habari za SiasaTangulizi

Madeleka aibwaga Jamhuri kesi za kubambikiwa

Spread the loveWakili Peter Madeleka ameshinda rufaa yake namba 263 ya mwaka...

error: Content is protected !!