Monday , 13 May 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet yamwaga msaada kwa madereva wa Bajaj
Biashara

Meridianbet yamwaga msaada kwa madereva wa Bajaj

Spread the love

KAMPUNI bingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbetimefanikiwa kutoa msaada kwa madereva Bajaji katikamaeneo mbalimbali jijini Dar-es-salaam ambapo wametoa maturubai ya kufunga kwenye Bajaji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Meridianbet wameendelea walipoishia kwani imekua utaratibuwao wa kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yao ambayoimekua ikiwazunguka kama ambavyo leo wamehakikishawametoa msaada kwa madereva Bajaji.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Lengo kubwa la Meridianbet kutoa msaada wa maturubai kwamadereva Bajaji ni kuhakikisha wanafanya kazi yao vizuri, Kwani maturubai hayo yatawasaidia kuwakinga na mvuapamoja na jua katika shughuli zao za kila siku.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutokaMeridianbet Nancy Ingram ambaye ndio aliongoza zoezi hiloalisema Tunayo furaha kubwa kufika hapa na kutoa msaadawa maturubai kwenu kwani tunaaamini vifaa hivi vitakwendakuwasaidia katika kutimiza majukumu yenu ya kila siku

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mbali na mkuu wa kitengo na mawasiliano na masoko kutokaMeridianbet kuzungumza na madereva Bajaji juu ya msaadawalioutoa, Lakini moja ya madereva aliweza kueleza furahayake juu ya msaada walioupata kwa kusema Tunashukurusana uongozi wa Meridianbet kwa kufika hapa na kutupatiavifaa hivi kwani maturubai haya yatatusaidia kutukinga namvua na jua katika shughuli zetu za kila siku

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Cheza Meridianbet kasino shinda mamilioni na Hot Shots

Spread the love  Hii ni kwa wapenzi wa michezo isiyo ya kasino...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Kigamboni siku ya Mama Duniani

Spread the loveMABIBGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet imefika kigamboni leo siku...

BiasharaHabari Mchanganyiko

PPAA yajipanga kuwanoa wazabuni namna kuwasilisha rufaa kieletroniki

Spread the loveIli kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi...

Biashara

Meridianbet kasino yaja na promo ya mil 200/=

Spread the love  Kimbunga Hidaya kilikuja na madhara makubwa sana katika maeneo...

error: Content is protected !!