Friday , 17 May 2024
Home Kitengo Biashara Cheza Keno bonanza ya Meridianbet ushinde bodaboda
Biashara

Cheza Keno bonanza ya Meridianbet ushinde bodaboda

Spread the love


HII
hapa promosheni nyingine kutoka Meridianbetinayokupa zawadi kabamebe kama vile Bodaboda mpya napesa taslim bila kusahau simjanja za kijanja zitamwagikakama mvua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa Meridianbet na umekuwaukibashiri hutakuwa sio mgeni na mchezo wa Keno, ambapokupitia promosheni ya Keno Bonanza, Meridianbet itatoaBodaboda, Simujanja na Pesa taslim kwa washindi wotewatakaopatikana.

Unambiwa kwamba promosheni ya Keno Bonanza imeanzaSeptemba 21 na itatudumu kwa muda wa mwezi mmoja, Oktoba21 droo ya washindi itachezeshwa ambapo wachezajiwaliocheza mfululizo mara tano kuanzia Jumatatu mpakaJumapili kwa kila wiki wataweza kujishindia zawadi kabambe.

Maelezo Mafupi Kuhusu Keno ya Meridianbet.

Mchezo wa Keno ya Meridianbet kasino ya mtandaoni unajumla ya namba 80, ambapo namba kuanzia 10 hadi 20 huchezwa kwa kutegemeana na aina ya Keno unayocheza kunaHot Keno, Keno Instant. Lengo la mchezo ni kubashiri idadikubwa ya namba zitakazotokea/zitakazochaguliwa kadriiwezekanavyo, hasa kubashiri namba zote.

Hata hivyo, hata kama hautofanikiwa kubashiri namba zote, pia unaweza kushinda pesa kulingana na idadi ya nambaulizochagua kutokea.

Michezo ya Keno ina chaguo la Autoplay unaweza kuchezamfululizo bila kukatisha mzunguko.

CHEZA HAPA

Jinsi ya Kucheza Hot Keno

Unachohitajika kufanya ni kuandaa mchanganyiko/mpangiliowa namba mbili hadi namba kumi na kuanza mchezo.

Chagua namba zako pendwa au angalia uchezeshaji wa awali nacheza kwa kubashiri namba ambazo unadhani zitatokea kwenyegurudumu la namba.

Ikiwa hauwezi kuamua, hiyo pia sio tatizo. Chaguamchanganyiko wa namba unazotaka kucheza, na kisha chaguakitufe cha uteuzi nasibu (random selection).

Tiketi za pesa halisi pekee ndio zitakazohesabika katikapromosheni hii. Dau la chini kwa tiketi ambalo litahesabikakwenye promosheni hii ni TSh 1,000+

Wateja watavuna alama kwenye kila tiketi na kila bashiri ya TSh1,000

    Kila tiketi ya TSh 1,000 mteja atapata alama 5
    Kila dau la TSh 1,000 TZS mteja atapata alama 15 ( endapo ataweka beti dau la TSh 3000, atapata alama 45 yadau + alama 5 za beti = alama 50)

Endapo wachezaji wawili wamefungana alama, kucheza maranyingi mfululizo kutatumika kupata mshindi, mchezajialiyecheza mara nyingi mfululizo atakuwa mshindi.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasiya mizunguko ya bure kucheza michezo yakasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Simulizi za aladin na jini kutoka Meridianbet kasino ya Rise of the Genie 

Spread the love  Rise of the Genie ni mchezo wa kasino ya...

Biashara

Mamlaka ya masoko ya mitaji na dhamana yajivunia maendeleo

Spread the love  AFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji...

Biashara

Anza safari ya mafanikio Meridianbet unapocheza sloti ya Rise of Coins Kasino

Spread the love “Rise of Coins mchezo wa slotiunaotolewa na mtoa huduma...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaitambulisha rasmi ‘NBC Connect’ Zanzibar

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha rasmi huduma yake...

error: Content is protected !!