Friday , 24 May 2024
Home Kitengo Biashara Anza safari ya mafanikio Meridianbet unapocheza sloti ya Rise of Coins Kasino
Biashara

Anza safari ya mafanikio Meridianbet unapocheza sloti ya Rise of Coins Kasino

Spread the love

Rise of Coins mchezo wa slotiunaotolewa na mtoa huduma Synot. Katikamchezo huu wa kasino ya mtandaoni, utapatabonasi za kasino. Kuna bonasi ya kamari, sarafu zinazotoa ushindi wa papo hapo, namizunguko ya bure

Maelzo ya Msingi na Rise of Coins Kasino

Rise of Coins ni mchezo wa sloti katika kasino ya mtandaoniya Meridianbet yenye safu tano zilizopangwa kwenye mistarimitatu na ina nguzo 10 za malipo yasiyobadilika. Ili kushinda, unahitaji kuunganisha alama mbili au tatu zinazofanana kwenyemstari wa malipo.

Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni Sarafu ni alamapekee zinazotoa malipo hata ukiwa na moja tu kwenye safu.Mchanganyiko wote wa kushinda unahesabiwa kutoka kushotokwenda kulia kuanzia safu ya kwanza upande wa kushoto.

Unaweza kuongeza malipo yako kwa kuunganishamchanganyiko wa kushinda kwenye mistari mbalimbali yamalipo kwa wakati mmoja.

Katika sehemu ya Bet kuna vitufe vya kuongeza na kupunguzaambavyo hutumika kuweka thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Pia kuna kipengele cha Autoplay ambacho unawezakukiwezesha wakati wowote upendao. Kupitia kipengele hiki, unaweza kuweka idadi isiyo na kikomo ya mizunguko.

Wachezaji wakubwa (High Rollers) watapenda kipengele cha Max Bet. Kubofya kwenye sehemu hii kunakuwezesha kuwekadau la juu kabisa kwa kila mzunguko.

Alama za Sloti ya Rise of Coins

Unapokuwa unaucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoniutakutana na alama za kawaida za kadi kama. (10, J, Q, K na A) hizi hutoa malipo madogo zaidi. Zimegawanywa katika makundimawili kulingana na thamani ya malipo.

Kuna alama ya miungu ya Misri inatumika kama alama zaushindi ukiunganisha alama ya Anubis utapata mara 75 ya daulako.

Kuna mungu mwingine wa Misri, Horus, ambaye yukomiongoni mwa alama za mchezo huu. Ukiunganisha alama hizitano kwenye mstari wa malipo, utashinda mara 200 ya daulako.

Alama yenye thamani kubwa zaidi kati ya alama za msingi nimtafiti. Ukiunganisha alama hizi tano kwenye mchanganyiko wakushinda, utapata mara 500 ya dau lako.

Mchezo Huu pia una Bonasi za Kipekee;

Jokeri amewakilishwa na kitabu cha dhahabu na anaonekanakwenye safu zote. Anachukua nafasi ya alama zote isipokuwasarafu na husaidia katika kuunda ushindi. Jokeri watano kwenyesafu zinakuletea mara 200 ya dau lako.

Sarafu ni aina nyingine maalum. Zinatoa malipo popotezinapotokea kwenye safu hata ukiwa na moja tu. Zinawezakuonekana kama za shaba, fedha, au dhahabu. Zinapojitokeza, hubeba malipo ya bahati nasibu kutoka x1 hadi x500 ya daulako.

Kila ushindi kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoniunaweza kuongezwa kwa msaada wa bonasi ya kamari. Unahitaji tu kubashiri rangi ya karata nyeusi au nyekunduitajitokeza baada ya karata kufuniliwa kwenye meza.

Tembelea www.meridianbet.co.tz kufurahia ushindi wako leo!

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezoya kasino ya mtandaoni upate ushindikirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwakubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovutiyao meridianbet.co.tz

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Shindano la Expanse mgao unaendelea Meridianbet 

Spread the love  Meridianbet inazidi kuchanja mbunga na kuwafikia wateja wake kupitia...

Biashara

Kasino ya Coin Strike Hold & Win ushinde kirahisi

Spread the loveMeridianbet wanakuletea mchezo mwingine wa kasino yamtandaoni ambao utakupa nafasi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yatoa msaada wa pikipiki 20 za milioni 65 Arusha

Spread the loveBenki ya NMB imekabidhi pikipiki 20 zenye thamani ya zaidi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Hukumu mahakama kuu yabatilishwa kesi State Oil, Equity Bank Tz

Spread the loveMAHAKAMA ya Rufani, jijini Dar es Salaam, imebatilisha hukumu iliyotolewa...

error: Content is protected !!