Saturday , 18 May 2024
Home Kitengo Biashara Wateja wa Vodacom kurudishiwa 10% wakilipa kwa simu bidhaa mbalimbali banda la Sabasaba
Biashara

Wateja wa Vodacom kurudishiwa 10% wakilipa kwa simu bidhaa mbalimbali banda la Sabasaba

Spread the love

 

KAMPUNI ya Vodacom Tanzania katika msimu huu wa sabasaba imetoa zawadi kwa watanzania kwa kuwarudishia mpaka 10% ya pesa watakapolipia bidhaa mbalimbali kwa simu (M-Pesa) pia wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (katikati) akiwa amejumuika na wateja kupata huduma za M-Pesa kwenye banda la Vodacom Tanzania katika maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2023 katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Katika msimu huu wa Sabasaba watanzania watarudishiwa mpaka 10% ya pesa wakilipia bidhaa kwa simu (M-Pesa). Vile vile wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka.  Huduma nyingine ni pamoja na kuunganishwa Vodabima na kupata router za intaneti za 5G.

Mtoa Huduma wa Vodacom Tanzania, Emmanuel Gichoto (kulia) akizungumza na mmojawapo wa wateja waliotembelea katika banda la Vodacom Tanzania katika maonyesha ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2023 katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya manunuzi ya simu mwishoni mwa wiki.

Katika msimu huu wa sabasaba watanzania watarudishiwa mpaka 10% ya pesa wakilipia bidhaa kwa simu (M-Pesa). Vile vile wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka.

Wakala wa Mauzo ya Simu, Husna Maturia (kushoto) akizungumza na mmojawapo wa wateja waliotembelea katika banda la Vodacom Tanzania katika maonyesha ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2023 katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya manunuzi ya simu mwishoni mwa wiki.

Katika msimu huu wa sabasaba watanzania watarudishiwa mpaka 10% ya pesa wakilipia bidhaa kwa simu (M-Pesa). Vile vile wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka.

Wakala wa Mauzo ya Simu, Isabela Nangabo (kushoto) akizungumza na mmojawapo wa wateja waliotembelea katika banda la Vodacom Tanzania katika maonyesha ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2023 katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya manunuzi ya simu mwishoni mwa wiki.

Katika msimu huu wa sabasaba watanzania watarudishiwa mpaka 10% ya pesa wakilipia bidhaa kwa simu (M-Pesa). Vile vile wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB ‘yafunga ndoa’ na wanawake wanaomiliki shule, vyuo Tanzania

Spread the loveBENKI ya NMB imeingia makubaliano rasmi (MoU) na Chama cha...

Biashara

Cheza kasino sloti ya Fruit O Rama malipo unayapata kwa njia 10

Spread the love Karibu kwenye burudani ya kasino ya mtandaoni isiyozuilikayenye kutawaliwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua bima ya afya kwa wakulima

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Total Energies yawekeza bilioni 17 kusambaza gesi ya kupikia

Spread the loveILI kurahisisha upatikanaji wa gesi ya kupikia kwa gharama nafuu...

error: Content is protected !!