Saturday , 18 May 2024
Home Kitengo Michezo Meridianbet yagawa vifaa vya michezo kwa timu mbili za Wanawake
Michezo

Meridianbet yagawa vifaa vya michezo kwa timu mbili za Wanawake

Spread the love

MERIDIANBET ambao ndio mabingwa wa michezo ya kubashiri wenye ODDS KUBWA leo imeamua kugusa soka la wanawake baada ya kuzikifikia  timu hizo na kutoa vifaa vya michezo ambavyo ni jezi na mipira kwa timu mbili za wanawake ikiwemo Mbagala Queens pamoja na Allan Queens ya Dodoma ambapo vifaa hivyo vitawasaidia katika shughuli zao za kimichezo kila siku. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Utaratibu wote wa leo umeweza kusimamiwa na kuratibiwa vizuri na wababe hao wa michezo ya kubashiri ya ubashiri Tanzania Meridianbet baada ya kuona umuhimu wa kuwapa nguvu na kuwekeza kwa wanawake na kuinua tasnia ya michezo kwa ujumla, Meridianbet imeona kuna haja ya kuwaunga mkono wanawake na wasichana kwenye sekta hii ya michezo na haitaishia hapa.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubeti wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Baada ya kutoa vifaa hivyo, Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet, Matina Nkurlu amesema “Huu ni mwanzo tu tumeona tuanze na timu hizi mbili, Mbagala Queens na Allan Queens ya Dodoma kwakua hawa walitufikia siku chache zilizopita kwa barua rasmi, na kwakua wanajiandaa na mashindano ya ligi ya daraja la kwanza , tukaona tuwatafute na kuwatia nguvu.”

Bwana Masoko aliendelea kusema kuwa ndani ya Meridianbet wanataka kuendelea kuwavuta watu wengi zaidi hapa Tanzania kutumia Meridianbet kwenye shughuli zao za ubashiri kwani wao ni bora kwenye kila idara kuanzia kwenye ODDS KUBWA mpaka machaguo zaidi ya 1000.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Vile vile baada ya kupokea vifaa hivyo kiongozi wa Allan Queen bi Amina Bakari  amesema “Hili ni jambo ambalo makampuni mengi yanapaswa kuiga na  tunaishukuru sana Meridianbet kwa moyo huu wa kujitolea na zaidi kuona umuhimu wa kusaidia hizi timu za wanawake, Sisi kama ALLAN QUEENS , tunawaahidi tutafanya vizuri kwenye mashindao yanayofuata.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Uingereza, Hispania, Italia na Ufaransa kinawaka leo

Spread the loveLIGI mbalimbali barani ulaya kuendelea leo na michezokadhaa mikali itakwenda...

Michezo

Leo mkwanja upo Meridianbet, usipishane nao

Spread the love  Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Michezo

Anza wikendi yako na Meridianbet, upige mkwanja wa maana

Spread the love Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji...

Habari MchanganyikoMichezo

Arafat atoka bima na kurejea kwenye benki

Spread the loveRais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemteua Arafat Ally Haji kuwa...

error: Content is protected !!