Sunday , 28 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Samia atuma salama za pongezi CCM ikitimiza miaka 46
Habari Mchanganyiko

Samia atuma salama za pongezi CCM ikitimiza miaka 46

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan
Spread the love

WAKATI Chama Cha Mapinduzi leo tarehe 5 Februari 2023 kikitimiza miaka 46 tangu kuasisiwa kwake, Rais Samia Suluhu Hassan ametumia ukurasa wake wa Twitter kutoka pongeza kwa wanachama na chama hicho na Watanzania kwa kutimiza miaka hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho ameandika; “Pongezi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kutimiza miaka 46. Pongezi kwa wana CCM na Watanzania wote. Busara na maono ya waasisi wetu viliunganisha TANU na ASP kutujengea chama hiki chenye misingi imara, kinachoendelea na kazi adhimu ya kuwatumikia Watanzania, Awamu hadi Awamu”.

CCM kiliasisiwa mwak 1977 baada ya vyama hivyo vya TANU na ASP kuungana chini ya uongozi wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Wami Ruvu hawana deni la Rais Samia katika kutunza vyanzo vya maji

Spread the love  BODI ya Maji Bonde la Wami Ruvu, imeendelea kuchua...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba

Spread the loveWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai...

Habari Mchanganyiko

Dk. Jafo aipongeza Oryx kumuunga mkono Samia

Spread the loveWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na...

Habari Mchanganyiko

Mvungi aendesha kikao kazi cha wataalam wa Regrow

Spread the love  MKURUGENZI wa Idara Sera na Mipango Wizara ya Maliasili...

error: Content is protected !!