Friday , 3 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Sh. 90,000 zamfikisha kortini mwalimu Tabora
Habari Mchanganyiko

Sh. 90,000 zamfikisha kortini mwalimu Tabora

Spread the love

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) itamfikisha mahakamani mwalimu, Kondwani Masata akituhumiwa kutoa rushwa ya Sh.90,000 kama kishawishi kwa Katibu Tawala Mkoa wa Tabora ili aweze kuhamishiwa Manispaa ya Tabora. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora … (endelea).

Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu tarehe 7 Septemba 2020 na Mkuu wa Takukutu Mkoa wa Tabora, Mussa Chaulo imesema, mwalimu huyo Kondwani Masata wa shule ya sekondari Kizengi Kata ya Kizengi wilayani Uyui Mkoa wa Tabora.

Chaulo amesema, mwalimu huyo atafikishwa mahakamani leo Jumatatu kutokana na tuhuma hizo ambapo walibaini mtuhumiwa aliomba uhamisho na kwa nyakati tofauti amekuwa akishawishi kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu (sms) na baadaye kutoa fedha kiasi hicho.

Pia, Takukuru itamfikisha mahakamani, Fidelis Myovella, mhasibu wa Chuo cha Ualimu Tabora na Joseph Kaizerege, mfanyakazi katika manispaa ya Tabora kwa kosa la kutumia nyaraka kumdanganya mwajiri.

Taarifa yote ya Chaulo hii hapa chini;

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

RPC Dodoma akabidhiwa bunduki mbili za wahalifu

Spread the love  Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa ya Kulevya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yazindua akaunti ya Kikundi

Spread the loveBenki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi yenye  maboresho makubwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi waidai STAMICO mishahara ya bilioni 1

Spread the loveWALIOKUWA wafanyakazi wa mgodi wa Shirika la Madini la Taifa...

error: Content is protected !!